Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NI HARAMUKwanini muache pombe? Ina matatizo gani?
Kama imani yako inasema hivyo well and good. Bahati nzuri imani yangu pombe si haramu nakunywa kama kawa.NI HARAMU
sasa mkuu kujinasua na pombe tena pub kikao cha mazungumzo duuh? mmmhhh!! bora hata mwende bustanini au nyumba za ibada au hata ndani ya gari lenu daaaah, pub tena? sioni mwanga mbele hata kwa tochi kama huko pub ndiyo pa kujinasulia aisee!daah aisee,kweli duniani wawili wawili,na mimi nina tatizo kama lako!! em njoo hapa mikasa pub riverside tujadili namna ya kujinasua
ndio mwambie akuwekee Maziwa wakati hujuwiMziziMkavu bana.. ataniwekeje bila kujua wakati nimemtafuta mwenyewe?
anaacha kwa kuacha kununua pombeSijakataa, sasa anaachaje?
vinasaidia sometimes,buku tu unaramba jogoo kikubwa tenaMimi mwenywe napiga kiroba mbaya nataka niache lakini wap! nishakunywa hadi maziwa ya kitimoto lakn bado hapa nlipo nshapiga viroba jogoo kaa sita hivi
Umenichekesha tuu hapo..
- Dah..hataree sana.. Juzi kati tumemuwekea jamaa yetu haya maziwa, cha ajabu ndiyo kaongeza unywaji na anang'ang'ania atiliwe tena hayo maziwa kwani yanaongeza stim 🙂
Dawa yake huyo ni kutujulisha anafanya kazi ofisi gani!
Achukue likizo then mpeleke sober house, watamsaidiaSijakataa, sasa anaachaje?
Aisee!teh!
- Dah..hataree sana.. Juzi kati tumemuwekea jamaa yetu haya maziwa, cha ajabu ndiyo kaongeza unywaji na anang'ang'ania atiliwe tena hayo maziwa kwani yanaongeza stim 🙂