Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Kwenu wana jamvi nimejaribu kuacha tungi nimeshindwa hivyo nimekuja kwenu ninyi kama kuna mtu anafahamu chakufanya tafadhali anisaidie nimeshindwa kuacha kabisa<hapa nilipo natamani kwenda kugonga moko!
Leo gonga za kutosha halafu usile kitu chochote...
kesho fanya hivyo hivyo
njaa ikiuma weka mnupa
Baada ya siku tatu tumbo litavuruga na utaanza kutapika
baada ya kutapika weka tena mambo
utapata nafuuu halafu utaanz aku sweat..ukiongeza tena utatapika (na hili ndio lengo)
mwili wote hakikisha unanuka pombe jasho pombe kila kitu pombe...ukigusa tu watapika
basi hapo anza kunywa maji utapatahoma kali sana piga matunda na mboga za majani...
kila ukisikia haraufu ya pombe utapata ki chefuchefu....
hapo ndio salama yako.
 
TafutA supplement zenye uwezo wa kupandisha dopamine yako then amua kuacha pombe huku unatibu tatizo LA kushuka kwa dopamine kutokana na self destruction behaviour ni ngumu kupambana na addition yeyote km tyr imeshaleta tatizo la kushuka kwa hiyo dopamine maisha yko yote utategemea short term boost ktk kwenye huo ulevi wako either ngono, pombe, porno kwa lugha jepesi addiction yeyote inakufanya utake boost mbeleni coz inashusha dopamine na ili ipande lzm usitue hiyo ndo siri kubwa ya kupambana na ANY addiCtion nini vinapandisha dopamine? Google
 
Hebu Katafute Hii Kitu →→→ "Ipecacuanha Emetic Draught" utumie Uone Kama utalewa tena! I Swear.
 
Hata mimi nilikuwa kama wew lakini niliacha baada ya tukio moja mpka leo nimeamua kumrudia Mungu
 
Fanya hivi.Tafuta dawa inaitwa disulfiram uwe unatembea nayo mfukoni,ukitaka tungi unachanganya na glass moja ya bia,i promise you utaacha

Alternatively you can use metronidazole tabs[emoji23][emoji23]
Nashukuru mkuu ntafanyia kazi!
 
Fanya hivi.Tafuta dawa inaitwa disulfiram uwe unatembea nayo mfukoni,ukitaka tungi unachanganya na glass moja ya bia,i promise you utaacha

Alternatively you can use metronidazole tabs[emoji23][emoji23]
Haina madhara!
 
Kwenu wana jamvi nimejaribu kuacha tungi nimeshindwa hivyo nimekuja kwenu ninyi kama kuna mtu anafahamu chakufanya tafadhali anisaidie nimeshindwa kuacha kabisa<hapa nilipo natamani kwenda kugonga moko!
Dawa ya kuacha kunywa pombe mtafute mama anyonyeshae maziwa mtoto akutilie kidogo maziwa yake kwenye pombe yako bila ya wewe kujuwa ukinywa tu hiyo pombe utaacha kunywa tena maishani mwako jaribu kisha uje unipe feedback.
 
Duh mpwa kumbuka hii nchi inatutegemea sana kwenye suala la mapato ili hosp ziwe na dawa,shule ziwe na vitabu na barabara za lami pia tafadhali usitukimbie tujenhe nchi.
Dawa ya kuacha any addiction ni wewe mwenyewe kwanza lazima itoke ndani ya nafsi kua sasa basi wewe tia nia tu ikiwezekana punguza dozi ya tungi kwa vipimo na usikae mazingira hatarishi na epukana na marafiki wa tungi mpaka utakapo-stablize kabisa mimi aya madawa hua naona hadithi sana muhimu ufanye maamuzi kila la heri mpwa ila mimi sitaki hata kusikia kuacha tungi ndio starehe yangu ambayo hainipi tatizo kabisa.
 
Habari za asubuhi wakuu, kama heading inavyoeleza!

Nina jamaa yangu ana umri wa 26, tangu utotoni nilikuwa nae,,nikasoma nae, na hata sasa tunafanya wote kazi! Sasa Ishu huyu jamaa yangu amekuwa mlevi kupindukia, kiasi kwamba yupo radhi akae bar kunywa pombe Siku nzima na kazini asiende. Ki ukweli mimi pia ni mnywaji ila kwa jamaa nimekuwa kama mwanafunzi na yeye ndio headmaster!

Sasa je, kuna dawa yoyote ya yeye kupunguza, au ikiwezekana aache kabisa coz inampeleka pabayaa! Naombeni ushauri kiroho safi!
 
Back
Top Bottom