Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo gonga za kutosha halafu usile kitu chochote...Kwenu wana jamvi nimejaribu kuacha tungi nimeshindwa hivyo nimekuja kwenu ninyi kama kuna mtu anafahamu chakufanya tafadhali anisaidie nimeshindwa kuacha kabisa<hapa nilipo natamani kwenda kugonga moko!
Za mkopo zipo teleUkiishiwa hela hata kiu hutoiskia
Ahsante!Duhh pole sana
Asante kwa ushauri mkuuUsiache utaikosesha serikali mapato
Walikufanyaje mkuu!Hata mimi nilikuwa kama wew lakini niliacha baada ya tukio moja mpka leo nimeamua kumrudia Mungu
Inapatikana wapi mkuu!matumizi yake!Hebu Katafute Hii Kitu →→→ "Ipecacuanha Emetic Draught" utumie Uone Kama utalewa tena! I Swear.
Damu ya yesu!Uache pombe ili unywe nini?
Nashukuru mkuu ntafanyia kazi!Fanya hivi.Tafuta dawa inaitwa disulfiram uwe unatembea nayo mfukoni,ukitaka tungi unachanganya na glass moja ya bia,i promise you utaacha
Alternatively you can use metronidazole tabs[emoji23][emoji23]
Haina madhara!Fanya hivi.Tafuta dawa inaitwa disulfiram uwe unatembea nayo mfukoni,ukitaka tungi unachanganya na glass moja ya bia,i promise you utaacha
Alternatively you can use metronidazole tabs[emoji23][emoji23]
Mbona inapatikana Katika Pharmarcy Zote Mkuu.Inapatikana wapi mkuu!matumizi yake!
Dawa ya kuacha kunywa pombe mtafute mama anyonyeshae maziwa mtoto akutilie kidogo maziwa yake kwenye pombe yako bila ya wewe kujuwa ukinywa tu hiyo pombe utaacha kunywa tena maishani mwako jaribu kisha uje unipe feedback.Kwenu wana jamvi nimejaribu kuacha tungi nimeshindwa hivyo nimekuja kwenu ninyi kama kuna mtu anafahamu chakufanya tafadhali anisaidie nimeshindwa kuacha kabisa<hapa nilipo natamani kwenda kugonga moko!