Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Tafuta maziwa ya nguruwe changanya na pombe halafu kunywa. Ukishakunywa ni utatapika hatari hutorudia tena kunywa hata kuongea na mtu aliyetoka kunywa pombe kwako itakuwa ni ndoto. Polee kwa kutawaliwa na pombe[emoji22]
 
DAWA IPI!: NENDA MOMBASA THEN KANYWE BIA MPK ULEWE KABISA THEN KESHO YAKE UTATUPA MREJESHO KUWA JE UMEAMUA KUACHA POMBE AU LA?
 
pole sana jamaa yangu.pombe inatesa sana na mimi ni muhanga,hapa nilipo na comment huku natoa lock na kili baridi.karibu toroka uje kimara hapa tupige mbili tatu huku tukijadiliana namna ya kujinasua.daah pombe jamani
nakuja..
 


No one live forever mkuu
 


Uwe unameza flagyl au DISULFIRAM utapunguza tu mwenyewe maumivu utakayoyapata
 
blaza nikachelewa kukujibu...karibu karibu sanaa miti mitatu hapa
 
Pombe inahitaji displin. Kama umefikia kwenye viroba hali ni mbaya.

Ondoka kwenye makundi ya walevi angalau baki na wanywaji, wenye displin ya unywaji.
 
Hivi kwa nini bia za Fair way na facebook pub tamu sana?!
 
Dawa ni kumrudia mungu kwa moyo wa dhati nakumbuka nilikua mlevi sana na navuta sana fegi ila toka tar 17/4/2015 mpka Leo sitaman nakushauri dawa ni kurudi kweny nyumba za ibada na kutubu ili use na hofu yamungu
 
Mi nina best yangu tulimwokota mtaroni asubuhi kabaki na chupi tu! Mpaka leo kaacha kabisa....Sijui kilimtokea nn? Na wewe huyo ndugu yako ni swala la muda tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…