Mtafute daktari akupime mwili wote halafu akupe majibu kwamba UKINYWA POMBE UTAKUFA....Nahitaji Msaada wenu wataalamu ninachukia tabia niliyonayo ya kunywa pombe naomba kusaidiwa nini dawa ya kunywa ili niache kinywaji hiki?
Sio kwamba na kunywa kila siku huwa na kunywa Mara moja moja Ila nalewa sana kiasi cha kunivunjia heshima yangu na kila Niko jitahidi kuacha siwezi. Nimejitahidi kuikataa akili ni Ila baada ya muda nimeanza tena sasa ninachoomba kusaidiwa ni dawa kiboko ya walevi kama Mimi. Nikome kabisa kunywa pombe.
Najiuliza wengine wanaachaje mbona Mimi nashindwa.
Madokta wataalamu wa tiba zote ziwe za kimila au Mbinguni au maarifa ya kawaida mnisaidie.
asanteni
Duuh bora akanywe methadone temeke hospDawa ya kuacha pombe ya hospitali IPO inaitwa disufilim
nashukuru nitaitafutaDawa ya kuacha pombe ya hospitali IPO inaitwa disufilim
hii unafanyaje?Duuh bora akanywe methadone temeke hosp
Whether ke or me tatizo ni kuacha pombeWewe ni ke mkuu?
Afadhari akipata muda wa kupumzika wikiend akaangalie mpira vibanda umoza ila asijiroge lujaribisha kubeti, ni ulevi mwingine!!Achana na kampani za walevi. Badala yake ufanye kitu kingine muda wa mapumziko tofauti na kutiririsha ulabu
No!....hujanielewa!kuna sababu zinazofanya watu kuwa walevi ambazo huwa zinasababishwa na jinsia ndo maana nilitaka kujua jinsia yako kwanza!....inawezekana tatizo likawa kwenye jinsia!Whether ke or me tatizo ni kuacha pombe
Sawa mkuu mimi ni MENo!....hujanielewa!kuna sababu zinazofanya watu kuwa walevi ambazo huwa zinasababishwa na jinsia ndo maana nilitaka kujua jinsia yako kwanza!....inawezekana tatizo likawa kwenye jinsia!
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Mi nina best yangu tulimwokota mtaroni asubuhi kabaki na chupi tu! Mpaka leo kaacha kabisa....Sijui kilimtokea nn? Na wewe huyo ndugu yako ni swala la muda tu....
Wanakopaga na kuacha simu zao rehani had wapate hela za kulipa unadhani walevi wanamaanamwache aendelee siku atakayokosa hela ya pombe ndipo ataacha
Nahitaji Msaada wenu wataalamu ninachukia tabia niliyonayo ya kunywa pombe naomba kusaidiwa nini dawa ya kunywa ili niache kinywaji hiki?
Sio kwamba na kunywa kila siku huwa na kunywa Mara moja moja Ila nalewa sana kiasi cha kunivunjia heshima yangu na kila Niko jitahidi kuacha siwezi. Nimejitahidi kuikataa akili ni Ila baada ya muda nimeanza tena sasa ninachoomba kusaidiwa ni dawa kiboko ya walevi kama Mimi. Nikome kabisa kunywa pombe.
Najiuliza wengine wanaachaje mbona Mimi nashindwa
Madokta wataalamu wa tiba zote ziwe za kimila au Mbinguni au maarifa ya kawaida mnisaidie.
asanteni