Asante kwa mada nzuri ila wewe pia utaitwa adui wa uchumi wetu, kwa sasa nchi (Sio Tanzania) inaendeshwa kwa pesa iliyopatikana kwa Kodi ya Bia yaani walevi, sasa ukiwapa dawa wakaacha kunywa itakuaje?
kwann uache pombe wakati wazalishaji wanaendana na hali halisi ya maisha? siku hizi bia buku jero tu unaweza piga ukawa a.k.a pilsner lager, au mwendokasi a.k.a safari ndogo pia siku hizi kuna chuma kinaitwa balimi a.k.a kanda ya ziwa ambapo buku tano unapiga 3 bado na chenji ya jero kwa ajili ya nauli ya daladala inabaki. kunywa pombe ili kuendeleza taifa kwani bila kunywa bia no kodi
Jamani nitafutieni wale wasanii sina mawasiliano yao ila ntawatibu bureee
.
Mgumu wa kutumia dawa unaweza mwekea kwenye chakula Maji au kinywaji anachokipenda
0653551607
Wandugu karibuni dawa
Sigara 1 sh.200 kwa siku sigara 5 ni 1000
Kwa mwezi ni 30000 au zaidi
Lakini
Mapafu yanachakaaa
Pombe
Bia 4 kwa siku ni 10000
Kwa mwezi 300000
Kwa mwaka ni zaidi ya 5000000 ukichanganya na ofa
Kuna bangi imeharibu maisha ya watu
Ata hiyo pombe, madawa yameharibu watoto kwa wakubwa,
Nitafutieni watu mnaowafahamu sugu
Ni DKK 10 tuuu