kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,117
Km bab wa kikombeTuna shida ya hiyo dawa, na wewe una shida na pesa yetu. Toa mchanganuo hapa hapa kwa uwazi. Sio mtu anapiga simu mnaanza kupatana bei badili ya kuzama kwenye point.
Toa mchanganuo wa bei. Pombe kiasi kadhaa.. sigara shs kadhaa lasivyo utakuwa wizi au utapeli.
Pombe 50000Tuna shida ya hiyo dawa, na wewe una shida na pesa yetu. Toa mchanganuo hapa hapa kwa uwazi. Sio mtu anapiga simu mnaanza kupatana bei badili ya kuzama kwenye point.
Toa mchanganuo wa bei. Pombe kiasi kadhaa.. sigara shs kadhaa lasivyo utakuwa wizi au utapeli.
Mkuu babu ilikuwa 500 Mimi ni 50000 Mara kumi yakeKm bab wa kikombe
so ni dozi ya dakika kumi? uko wapi ?Jamani nitafutieni wale wasanii sina mawasiliano yao ila ntawatibu bureee
.
Mgumu wa kutumia dawa unaweza mwekea kwenye chakula Maji au kinywaji anachokipenda
0653551607
Mkuu hii dawa ishatolewa sanasasa dakika 10 matokeo nitajuaje kama nimeacha? baada ya siku mbili nikivuta tena bangi nije nikufanyeje?
mara kumi ya 500 ni 50000?Mkuu babu ilikuwa 500 Mimi ni 50000 Mara kumi yake
Natafuta mawasiliano yake na ya wasanii wengine ukipata nayaombaAnza na Chid benz hapo utapigiwa promo bure
Mkuu usipoteze muda na maswali nitafuti mawasiliano ya chidbenz kwanza maswali baadayeUnajuaje umepona baada ya dakika 10?? Ikiwa watu wanakaa hadi mwezj na alosto kurudia tena??
Umenena vema,,,vyote ni rahis sana kuacha ikiwa tu utaamua,njia pekee ya kufanya au kutofanya chochote ni kuamua peke yako. Kua sitak tens na kuanzia Leo naacha na uamue kwel kwelMtu yeyote anayejiforce kuacha pombe au sigara kwa kutumia ''dawa'' huwa hachukui muda mrefu kupiga u-turn na kufakamia monde tena. Kuacha Pombe huwa ni maamuzi thabiti ya mtu mwenyewe kutoka moyoni kabisa. Any external influence normally fails miserably.