Ohoooo!!!Usiache bwana chama chetu kitakosa wanachama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]HAVE A GOOD LAUGH!!
Ili iwe funzo kwako na wengine wenye tabia kama zako
ZIFUATAZO NI ADHABU ZITOLEWAZO KWA UVUNJAJI WA SHERIA ZA CHAMA CHA WANYWAJI POMBE:
1. Kosa la kumtoroka mlevi mwenzako kwenye Bar – Jela miezi tisa.
2. Kuacha kunywa pombe na fedha unazo – Kifungo cha maisha.
3. Kuvunja chupa ya beer – Jela miaka miwili.
4. Kumkaribisha mume au mke wa rafiki yako bila idhini yake – Viboko ishirini vya makalio na kufungiwa kunywa nusu siku.
5. Kumchukulia dhamana mtu asiyepiga maji (pombe) – Adhabu yake ni kutolewa chamani.
6. Kumwibia pombe mlevi mwenzako ni kosa kubwa – Jela mwaka mmoja.
7. Kukataa kunywa wakati umekaribishwa – Jela miaka mitano.
8. Kukwepa ulevi wa aina yoyote adhabu ni – Kunyang'anywa mume au mke, kama huna utaozwa mume au mke kwa nguvu.
9. Kupita Bar au Grocery na kujifanya huoni hilo ni kosa kubwa faini yake ni – Kuwanunulia wanywaji wote waliokuwa kwenye Grocery au Bar kila mtu kinywaji anachokunywa na kukaa ukiwaangalia mpaka wamalize.
10. Kumcheka mnywaji mwenzako akiwa amelewa ni kosa la jinai, unachotakiwa kufanya ni kumpongeza kwa kazi nzito aliyoifanya adhabu yake ni – Kutolewa kwenye Bar muda wa dakika moja.
In Life We All Have Choices,
Ww jamaa kiboko!!![emoji23] [emoji23]piga hesabu hasara:
mwaka
bia 3@1500 4500×30 =135,000×12=1,620,000
nyama 15,000@month =15,000×12 =180,000
other expnses kutoa ofa
usafiri kuhonga nk 50,000@mnth×12=600,000
total 2,400,000
chukua 1,620,000÷1500= 1080
kwa mwaka unakunywa chupa 1,080 ni sawa na cret 54
huonei huruma ini.
Hiyo pombe unayoizungumzia hapa ni ni hii ya kwenye chupa? Au ya magogo ON? Maana kama ni pombe ya kawaida haitukanwi labda ni pombe mtuSalam,
..... Kama kuna dawa waungwana tusaidiane.
Pombe, pumbavu zako pombe.
Hiyo ya maziwa huwa inafanywa kwa mtu ambaye hataki kuacha pia huyo mlevi asijue kama kawekewa.Mwambie mtu akuwekee maziwa ya nguruwe anayenyonyesha kwenye pombe utakayokunywa ukishindwa nenda kanisani kuombewa
Hii analysis yako hainisaidii kuacha pombe.... Kwa sababu ninajua kuwa ninapata hasara.piga hesabu hasara:
mwaka
bia 3@1500 4500×30 =135,000×12=1,620,000
nyama 15,000@month =15,000×12 =180,000
other expnses kutoa ofa
usafiri kuhonga nk 50,000@mnth×12=600,000
total 2,400,000
chukua 1,620,000÷1500= 1080
kwa mwaka unakunywa chupa 1,080 ni sawa na cret 54
huonei huruma ini.
Ushauri mzuri.... Japo umeniongezea jina lingine la pombe... UGIMBI. Duh.Kuacha pombe au kilevi kingine chochote huwa ni kitu kigumu sana sana sana, ila kinawezekana. Kwanza uwe binafsi una nia ya dhati na kweli kuacha (hii ndio msingi wa yote), then anza taratibu kupunguza, kama unapata 3, jaribu kushusha to 2 or 1 a day kwa muda wa kama week moja hivi au zaidi. Ukifanikiwa hilo, ujue the rest is simple.
Kwa kifupi, kuacha ugimbi ni wewe mwenyewe ukitia nia na kuchukua hatua.
All the best kwenye hiyo vita
kumbe muhusika hatakiwi kujuaHiyo ya maziwa huwa inafanywa kwa mtu ambaye hataki kuacha pia huyo mlevi asijue kama kawekewa.
Ndiyo hivyo mkuu.kumbe muhusika hatakiwi kujua