Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

uache kunywa pombe utapata starehe gani hapa duniani, angalia mkuu starehe nyingine nyingi tofauti na pombe ni mbaya san unaweza fumliwa marinda au kuwa teja
 
Salam,

Nimeona nianze kwa kukiri udhaifu wangu kwenye pombe, kwa kweli naipenda na nimekuwa mdhaifu sana kwenye hii kitu. Naweza kusema sijafikia kiwango cha kujiita mraibu lakini it is too much. Yaani kila siku ni lazima nipate chupa zisizopungua tatu za virikuu.

Zinanimaliza kiuchumi, zinaninyima muda wa kukaa na familia, na zinaniletea mibalaa tu. Ajali za kijinga, ugomvi na mengine ya hovyo.

Kwa akili yangu naona nimeshindwa kabisa kuacha ulabu...... Kama kuna dawa waungwana tusaidiane.

Pombe, pumbavu zako pombe.
 
hahah khaaa jinsi tu ulivyomalizia pole sana kuacha kitu ni wewe mwenyewe kikichukia kile kitu huwezi kuchukia kitu alafu kwa wakati huo huo unakipenda kupanga ni kuchagua na ww chagua kuacha naamini utaacha ukidhamiria pombe haiwezi kukutawala
 
piga hesabu hasara:
mwaka
bia 3@1500 4500×30 =135,000×12=1,620,000
nyama 15,000@month =15,000×12 =180,000
other expnses kutoa ofa
usafiri kuhonga nk 50,000@mnth×12=600,000
total 2,400,000

chukua 1,620,000÷1500= 1080

kwa mwaka unakunywa chupa 1,080 ni sawa na cret 54

huonei huruma ini.
 
Umezunguka sana ila ujumbe wako upo hapo kwenye sentensi ya mwisho...
 
HAVE A GOOD LAUGH!!

Ili iwe funzo kwako na wengine wenye tabia kama zako
ZIFUATAZO NI ADHABU ZITOLEWAZO KWA UVUNJAJI WA SHERIA ZA CHAMA CHA WANYWAJI POMBE:

1. Kosa la kumtoroka mlevi mwenzako kwenye Bar – Jela miezi tisa.
2. Kuacha kunywa pombe na fedha unazo – Kifungo cha maisha.
3. Kuvunja chupa ya beer – Jela miaka miwili.
4. Kumkaribisha mume au mke wa rafiki yako bila idhini yake – Viboko ishirini vya makalio na kufungiwa kunywa nusu siku.

5. Kumchukulia dhamana mtu asiyepiga maji (pombe) – Adhabu yake ni kutolewa chamani.

6. Kumwibia pombe mlevi mwenzako ni kosa kubwa – Jela mwaka mmoja.
7. Kukataa kunywa wakati umekaribishwa – Jela miaka mitano.
8. Kukwepa ulevi wa aina yoyote adhabu ni – Kunyang'anywa mume au mke, kama huna utaozwa mume au mke kwa nguvu.

9. Kupita Bar au Grocery na kujifanya huoni hilo ni kosa kubwa faini yake ni – Kuwanunulia wanywaji wote waliokuwa kwenye Grocery au Bar kila mtu kinywaji anachokunywa na kukaa ukiwaangalia mpaka wamalize.
10. Kumcheka mnywaji mwenzako akiwa amelewa ni kosa la jinai, unachotakiwa kufanya ni kumpongeza kwa kazi nzito aliyoifanya adhabu yake ni – Kutolewa kwenye Bar muda wa dakika moja.

In Life We All Have Choices,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
piga hesabu hasara:
mwaka
bia 3@1500 4500×30 =135,000×12=1,620,000
nyama 15,000@month =15,000×12 =180,000
other expnses kutoa ofa
usafiri kuhonga nk 50,000@mnth×12=600,000
total 2,400,000

chukua 1,620,000÷1500= 1080

kwa mwaka unakunywa chupa 1,080 ni sawa na cret 54

huonei huruma ini.
Ww jamaa kiboko!!![emoji23] [emoji23]
 
Kuacha pombe au kilevi kingine chochote huwa ni kitu kigumu sana sana sana, ila kinawezekana. Kwanza uwe binafsi una nia ya dhati na kweli kuacha (hii ndio msingi wa yote), then anza taratibu kupunguza, kama unapata 3, jaribu kushusha to 2 or 1 a day kwa muda wa kama week moja hivi au zaidi. Ukifanikiwa hilo, ujue the rest is simple.
Kwa kifupi, kuacha ugimbi ni wewe mwenyewe ukitia nia na kuchukua hatua.
All the best kwenye hiyo vita
 
piga hesabu hasara:
mwaka
bia 3@1500 4500×30 =135,000×12=1,620,000
nyama 15,000@month =15,000×12 =180,000
other expnses kutoa ofa
usafiri kuhonga nk 50,000@mnth×12=600,000
total 2,400,000

chukua 1,620,000÷1500= 1080

kwa mwaka unakunywa chupa 1,080 ni sawa na cret 54

huonei huruma ini.
Hii analysis yako hainisaidii kuacha pombe.... Kwa sababu ninajua kuwa ninapata hasara.
 
Kuacha pombe au kilevi kingine chochote huwa ni kitu kigumu sana sana sana, ila kinawezekana. Kwanza uwe binafsi una nia ya dhati na kweli kuacha (hii ndio msingi wa yote), then anza taratibu kupunguza, kama unapata 3, jaribu kushusha to 2 or 1 a day kwa muda wa kama week moja hivi au zaidi. Ukifanikiwa hilo, ujue the rest is simple.
Kwa kifupi, kuacha ugimbi ni wewe mwenyewe ukitia nia na kuchukua hatua.
All the best kwenye hiyo vita
Ushauri mzuri.... Japo umeniongezea jina lingine la pombe... UGIMBI. Duh.
 
Back
Top Bottom