Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Kula beer acha uoga....ila jitahidi kuongeza nidhamu
 
Mkuu, kulijua tatizo ni nusu ya kulitatua tatizo.
Nenda tafuta hapo jirani kwenye Kanisa la watu waliookoka, omba kuonana na mchungaji, mweleze swala lako hilo kisha atakuelekeza la kufanya.

Huwa hatushindi dhambi kwa nguvu zetu. Tunaweza kuzishinda dhambi zote pale tunapokuwa tumempa Yesu maisha kwa maana ya KUOKOKA. Baada ya kuokoka, tunapokea nguvu kutoka kwa Mungu inayotuwezesha kuanza kuishi maisha ya ushindi.

AMUA KUZALIWA MARA YA PILI, UUONE UKUU WA MUNGU. Karibu kwenye Kingdom mkuu
 
A
Ahhhhh wapi wewe! Watu tunatumia hadi miliono 20 kwa mwaka kwenye pombe tu unataka kusema nini? Hayo ni matumizi tu pia ya pesa bwana mkubwa, acha uoga.
 
Katika unywaji wa pombe nyuma yake kuna roho ya ulevi. Huwezi kuacha kwa utashi wako, bila kuamua kuokoka na Yesu Kristo kutawala maisha yako.
 
Tuanze na swali hili ww ni mtu wa imani gani?
 
hivyo hivyo kidogo
Ebu Nipe Somo kuhusu ile tabia yenu ya kutulisha malimbwata[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
 
 
unaharibu uzi wa watu kutoka nje ya mada
 
A

Ahhhhh wapi wewe! Watu tunatumia hadi miliono 20 kwa mwaka kwenye pombe tu unataka kusema nini? Hayo ni matumizi tu pia ya pesa bwana mkubwa, acha uoga.


woga kwangu ni msamiati.

ata kama unatumia mil 50 urumia mwili wako.

pombe ni tamuu kwelii kwelii na alianzisha pombe abarikiwe sana.

hoja ni kwamba inyweke kidgo sababu kuu ni kwamba ukinywa nyingi utakufa haraka uache utamuuuuuu.

maneno yangu SIO SHERIA.
sipangiwi chakuandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…