Mamujay
Senior Member
- Dec 24, 2022
- 149
- 345
Thread hii kwanza naiona na views wengi sana maana wabongo wengi wanapenda kujifunza. Nawapongeza kwa hilo. Back to the matters.
Njia za kuzuia wachawi wasiingie ndani kwako zipo nyingi na kila mtu anaifahamu yake.
Naiweka hapa ninayoifahamu na wengine waweke wanazozifahamu tujifunze.
Chukua mifupa ya ngurue weka kwenye kona ya nyumba yako ,kona zote juu ya mlango na madilishani kote
Leteni nyingine