Pole Sana ... wachawi walikuonea sanaUkifanya hivyo ndio watakuja wakufukue mtaro a.k.a Kwa mpalange. Niliwahi kusikia huo ushuhuda kwa waliojaribu kufanya hivyo[emoji28]
Bullshit!Thread hii kwanza naiona na views wengi sana maana wabongo wengi wanapenda kujifunza. Nawapongeza kwa hilo. Back to the matters.
Njia za kuzuia wachawi wasiingie ndani kwako zipo nyingi na kila mtu anaifahamu yake.
Naiweka hapa ninayoifahamu na wengine waweke wanazozifahamu tujifunze.
Chukua mifupa ya ngurue weka kwenye kona ya nyumba yako ,kona zote juu ya mlango na madilishani kote
Leteni nyingine
Achana na mawazo ya kipumbavu wewe.Thread hii kwanza naiona na views wengi sana maana wabongo wengi wanapenda kujifunza. Nawapongeza kwa hilo. Back to the matters.
Njia za kuzuia wachawi wasiingie ndani kwako zipo nyingi na kila mtu anaifahamu yake.
Naiweka hapa ninayoifahamu na wengine waweke wanazozifahamu tujifunze.
Chukua mifupa ya ngurue weka kwenye kona ya nyumba yako ,kona zote juu ya mlango na madilishani kote
Leteni nyingine
Kuna jeen maalun anaishi chooni!; huyo hiyo mifupa ya nguruwe anaitafuna na kushushia urojo wa chooni kisha anajínafasi ndani ya nyumba yako kwa raha zake....Thread hii kwanza naiona na views wengi sana maana wabongo wengi wanapenda kujifunza. Nawapongeza kwa hilo. Back to the matters.