geniusMe
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 1,311
- 1,780
Congratulation unaenda kuharibu k ya mke wa mtu na upupu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yeye alikuwa anatokwa na maji mazito meupe sehem za siri sikuwa hi kushuhudia ila nilidadisi kumuuliza bibi nijue tu huwa inakuwaje kuna majan flan aliponda akampa apake na aweke badae ikakata sasa, hayo majani mpaka niyapige picha nikupe ila jaribu kwanza kuwaulizia wakongwe wanaweza wakakawa wanayafahamu kama mkonao majirani hapo au bibi zenu kijijini, mimi kupiga picha mpaka nitoke niende barabarani