Njia za uzazi wa mpango zinamsababishia mpenzi wangu harufu mbaya ukeni

Njia za uzazi wa mpango zinamsababishia mpenzi wangu harufu mbaya ukeni

Yeye alikuwa anatokwa na maji mazito meupe sehem za siri sikuwa hi kushuhudia ila nilidadisi kumuuliza bibi nijue tu huwa inakuwaje kuna majan flan aliponda akampa apake na aweke badae ikakata sasa, hayo majani mpaka niyapige picha nikupe ila jaribu kwanza kuwaulizia wakongwe wanaweza wakakawa wanayafahamu kama mkonao majirani hapo au bibi zenu kijijini, mimi kupiga picha mpaka nitoke niende barabarani
Congratulation unaenda kuharibu k ya mke wa mtu na upupu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sasa iko hivi by experience ni kwamba kabla ya yote ningekuelekeza atumie tu hayo majani maana inakausha na kukata harufu ila sijui humu kuna watoto chini ya 18, ok unaweza ukampeleka akapime hayo ute wowote au unyevu wowote uliomo ukeni ili kujua kama kuna infection ya bacteria kuanzia kwenye uzazi hadi kwenye mirija na hapo mlangoni kuna dawa ningekuandikia na kukushauri utumie hayo majani ila hilo kwanza la kupima to be more precise kama watakuwemo tujue ni aina gani the naweza nikakuandikia dawa sahihi.
Tabu kweli kwa sisi tunaonyonya na kulamba hizo kitu , ndio maana tunapata vitambi bado wadogo vitamin kama zote.
 
Dada we ujui tu yani ule wakati wa kumwaga kama ikitokea nimeshinda biko alafu ndio demu ananipa karatasi ni pige saini tugawane pesa lakini aniruhusu kukojoa ndani , labda peni igome au karatasi ichanike.
Ninawifiangu alikua anaeka kitanzi yaani alikua ananuka kama ameoza ikabidi ajifunze kutumia kalenda na kuanza kutumia madawa ili apone imepona kabisa na uzazi wa mpango hatakihatakusikia kama mwanaume hataki kupiz nje badi siku za hatari hafanyi kabisa na unaenda mwaka wa4 yuko ok
 
Naomba msaada mwenzi Wangu anatoa HARUFU mbaya UKENI mara ya Kwanza.. alikua anatoa kwa sababu ya kutumia sindano za uzazi wa mpango..alipoacha HARUFU iliisha kabisa.. sasa kaweka kitanzi.. tatizo limerudi..atumie dawa gani ili aache kutoa harufu..!
Mwambie mwenzi wako atoe kitanzi ninayo dawa ya kumfanya asiweze kupata mimba wakati anapofanya mapenzi na dawa ya kutoa harufu ukeni. Ukihitaji nitafute kwa wakati wako nipate kumtibia mpenzi wako.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
 
Namba hii ya simu unayotumia ni ya nchi gani ndio ulipo huko
 
Huwa mnafanya tendo chumbani kwenu ni chumba cha self au sio self. iyo harufu unaisikia baada ya tendo au hata kama mmekaa tu unaisikia, kuna dada yangu flan tulikuwa tukikaa hata nje tu ukiwa karibu yake unaisikia lakini bibi alimpa dawa ikaisha kabisa. jibu kwanza hayo maswali
Tayar mteja anataka kupigwa hapa,ukishaona sijui bibi yangu ...
 
kuna dawa inaitwa Femicare inasaidia kukinga na kutibu
1. miwasho sehemu za siri
2. fangasi sehemu za siri.
3. UTI sugu
4. kutokwa na uchafu sehemu za siri.
5. kutokwa na harufu mbaya sehemu za siri.
nipigie au nitumie sms kupitia 0657317631 nikusaidie uipate.
 
Back
Top Bottom