Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,026
- 2,266
Vijana wengi tumekuwa tukitoa kutokuwa na mtaji ndio excuse ya kuto fanikiwa kwenye biashara ,ni kweli mtaji ni kama fuel kwenye vehicle pia biashara inahitaji vitu Kama mtaji , plan,na mind set ya mtu yaani ule utayali wake wa kufanya biashara...Sasa tukiachana na hivyo vingine tungalie tu mtu unawezaje ukapata huo mtaji
Kuna aina nyingi za mitaaji na jinsi inavyoweza kuleta hizo hela
1. Dept capital ,mitaji inayopatikana kwa kukopa tunaweza kuipata kwa kukopa either serikalini au kwa watu binafsi ,sio lazima ukope mamilion unweza kukopa hela kidogo ya kufanyia biashara ndogo ndogo .
2. Equity capital ,kwa kutumia vinundi mafano vikoba ,au mkaanzisha vukundi mkawa mnakopeshana kila baada muda .
3. Trending capital,hii ni mitaji ambayo inapatikana kutokana na biashara yaani kwa mfano unakuwa na ka biashara kadogo unakuwa inajikuaanya taratibu hadi kupata mtaji wa kukufanya biashara kubwa.
4. Working capital.mtaji ambao mtu anaupat kwa kufanya kazi,mfano wewe labda boda boda,unauza duka la mtu au unafanya kazi yeyote kwenye taasisi ya mtu unajiwekea hela kidogo kutoka kwenye mshahara wako then baada muda ukaanza na kabiashara kadogo kidogo au kubwa kulingana na kiwango chako ulichojiwekea
NB:
Kama mtaji ni fuel Basi business plan ramani ambayo itakufikisha kwenye mafanikio