Isn't easy yani vitochi ni balaa hapa utakutana na site za kulipia Wanahack kupitia namba!.
Kitochi mkuu ni ngumu sana kuhack na ukihack namba jua unaishika sirikali masikio!. Kiujumla hacking inaweza kukuweka nyuma ya nondo au ukatoa miburungutu ya fedha! Nzuri ukitumia makampuni taarifa zinapita kwai then inakufikia wewe!..Pagumu hapo
Hii haifai asee 😲Kitochi mkuu ni ngumu sana kuhack na ukihack namba jua unaishika sirikali masikio!. Kiujumla hacking inaweza kukuweka nyuma ya nondo au ukatoa miburungutu ya fedha! Nzuri ukitumia makampuni taarifa zinapita kwai then inakufikia wewe!.
Niliwahi kumsikiliza Mello, alikuwa anajenga hoja Kitochi ni rahisi zaidi kudukuliwa sababu hakuna Encryption, data zako zote zipo uchi kwa mtandao wa simu.Kitochi mkuu ni ngumu sana kuhack na ukihack namba jua unaishika sirikali masikio!. Kiujumla hacking inaweza kukuweka nyuma ya nondo au ukatoa miburungutu ya fedha! Nzuri ukitumia makampuni taarifa zinapita kwai then inakufikia wewe!..
Huu ulimwenguni wa teknolojia ukiujua vizuri utajiona hata hapo ulipo upo uchi sana! Just imagine Kuna hackers wanaweza kukupiga picha kwa kutumia kamera ya simu yako!,upo zako unapiga punyeto huku ukicheki mrembo simuni kumbe Kuna Kobe zinakuona unavyozishughulikia nyege zako..🤣🤣
Ubovu huko nje ya mifumo ndo Kuna apps nzurinzuri! So mkuu tunafanyaje kulinda simu zetu hakuna apps zinazoweza zuia hata isipokuwa kwa 100%Niliwahi kumsikiliza Mello, alikuwa anajenga hoja Kitochi ni rahisi zaidi kudukuliwa sababu hakuna Encryption, data zako zote zipo uchi kwa mtandao wa simu.
Na Android/ios nazo pia sio safe,
Kifupi mkuu eneo ambalo lipo salama labda ni hizi open source alternatives, uweke Aosp based Android na usi install app za ovyo ovyo.
Mkuu open source app zipo, unatakiwa tu ufanye utafiti mwenyewe upunguze Kadri itakavyowezekana.Ubovu huko nje ya mifumo ndo Kuna apps nzurinzuri! So mkuu tunafanyaje kulinda simu zetu hakuna apps zinazoweza zuia hata isipokuwa kwa 100%
iPhone ndio mdudu gani mzee mbele ya huckerNunua iPhone