Nimepitia comments za thread, nimegundua mtoa mada tayari anawaza duka hasa la vyakula.
1. Kama ushawahi kuifanya au unaona kabisa una uwezo wa kuifanya basi fanya. Majuto ya Kughairisha kitu ni makubwa kuliko ukafanya ukashindwa,, go on.
2. Uwe mwepisi wa kujifunza na kujitoa, itakusaidia kuielewa Biashara mapema na kudhibiti Hasara Kwa haraka.
3. Jinsi ya kumanage hakuna formular. Endesha vile wewe unaona inafaa.. Jisomee pia rules of magement kuongeza maarifa.
Kila la heri, usiache Kufanya kitu.