MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Ku bet
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barikiwa.Nimepitia comments za thread, nimegundua mtoa mada tayari anawaza duka hasa la vyakula.
1. Kama ushawahi kuifanya au unaona kabisa una uwezo wa kuifanya basi fanya. Majuto ya Kughairisha kitu ni makubwa kuliko ukafanya ukashindwa,, go on.
2. Uwe mwepisi wa kujifunza na kujitoa, itakusaidia kuielewa Biashara mapema na kudhibiti Hasara Kwa haraka.
3. Jinsi ya kumanage hakuna formular. Endesha vile wewe unaona inafaa.. Jisomee pia rules of magement kuongeza maarifa.
Kila la heri, usiache Kufanya kitu.
Niajiri mie besty nitasimamia biashara zako kwa uaminifu. Cha msingi unipatie gheto na chakula changu kikuu ni wali nazi na mchuzi wa nyamaShida upigwaji ni mwingi na km unafanya hivo namnagan unaweza dhibiti