Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?

Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?

new gal

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,593
Reaction score
2,988
Aisee unajua tunasikiaga watu wanajiua tunawaona wajinga sana ila ukweli labda sababu hayajatufikia.

Tuombeane aisee hivi depression inaweza kutoka kwa njia zipi. Unajaribu kulala havilaliki, washa TV huelewi unachoangalia, unaweka mziki unaona kama kelele. Yani vururu vururu nimelia wee usiku kucha mpaka macho yamevimba.

No shoulder to cry on, no one to sit pembeni yako akakusikiliza na kukufariji.

Nyie aisee tuombeane, its hard.

Mrejesho, soma: Mrejesho: Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?
 
Tafuta pesa,ridhika na hali uliokua nayo usifocus kwenye maisha ya watu au furani kafanya nini au hana nini,live your own life without comparing it with that of others ondoa presha ya kufanikiwa kwa haraka.
 
Back
Top Bottom