Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?

Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?

Eh tena. Unajua nmeongea na watu wangap had nmepata nafuu. Si nyie ndo mmenishauri. Kwaio sikupaswa kukaa sawa hata kdg kumbe
hamna😂

sonona haiishi, hizi ni stress tu za kawaida, sonona ni ugonjwa kabisa

itakua kuna tukio limetokea kwenye maisha yako ndo likakufanya uwe hivyo kwa muda
 
Wazungu wanasema chanzo cha Sonona ni chemical imbalance. They are closer to the truth.
Chanzo ni electrolyte imbalance. Kapimwe kiwango cha madini kilichopo kwenye damu yako.
Hasa hasa Calcium, Potasium na Magnesium.
Pia jitahidi ule chips maziwa na chocolate na maji ya kunywa unywe haya ya chupa hasa yenye madini ya Calcium
 
Hapo pa chocolate, maziwa na chips naomba baba angu aone jamani...🤭
Mac Alpho
 
Habari,ili uweze kupambana na anxiety ama depression.Usije ukadanganywa utapona Anxiety ama Depression kwa kusali ama kujichanganya na watu..kwanza unatakiwa kujua maana ya MIND na namna inavyo fanya kazi.

Pili unatakiwa kujua aina za MIND na namna zinavyo fanya kazi.
a)CONCIOUS MIND
b)UNCONCIOUS MIND/SUBCONSCIOUS MIND.

Nikipata time,nitaelezea in details..namna unavyo itengeneza depression na pia namna unaweza kurelease.
 
Sometimes unakua depressed kwa sababu una fail to speak up about what is disturbing you .i remember i had the same experience nikaongea na jamaa zangu unajua ule upendo wa wadau hawawezi kukwambia ila wana wana take care sana about their friends ,to make story short walikua wanajitahidi siwi mwenyewe unakua tu mda wote nje mtafanya hichi mtafanya kile mwisho wa siku sikuchukua mwezi nikarecover niko sawa na am the happiest person right now
 
Aisee unajua tunasikiaga watu wanajiua tunawaona wajinga sana ila ukweli labda sababu hayajatufikia.

Tuombeane aisee hivi depression inaweza kutoka kwa njia zipi. Unajaribu kulala havilaliki, washa TV huelewi unachoangalia, unaweka mziki unaona kama kelele. Yani vururu vururu nimelia wee usiku kucha mpaka macho yamevimba.

No shoulder to cry on, no one to sit pembeni yako akakusikiliza na kukufariji.

Nyie aisee tuombeane, its hard.
Sala tano kwa siku.

Kutoa sadaka bila kuipangia.
 
Aisee unajua tunasikiaga watu wanajiua tunawaona wajinga sana ila ukweli labda sababu hayajatufikia.

Tuombeane aisee hivi depression inaweza kutoka kwa njia zipi. Unajaribu kulala havilaliki, washa TV huelewi unachoangalia, unaweka mziki unaona kama kelele. Yani vururu vururu nimelia wee usiku kucha mpaka macho yamevimba.

No shoulder to cry on, no one to sit pembeni yako akakusikiliza na kukufariji.

Nyie aisee tuombeane, its hard.
Hii Hali inanisumbua sana
 
Tafuta pesa,ridhika na hali uliokua nayo usifocus kwenye maisha ya watu au furani kafanya nini au hana nini,live your own life without comparing it with that of others ondoa presha ya kufanikiwa kwa haraka.
Shida siyo hiyo.
 
Back
Top Bottom