Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Huwezi elewa yaani, najua ulitaka kusikia nikimalia baby sio?Mwishon umeharibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi elewa yaani, najua ulitaka kusikia nikimalia baby sio?Mwishon umeharibu
Sio lazima baby hata kavu ingefaaHuwezi elewa yaani, najua ulitaka kusikia nikimalia baby sio?
itakua ni mawazo tu, ulioverreact.... sio sononaLeo afadhali ndg yangu
Eh tena. Unajua nmeongea na watu wangap had nmepata nafuu. Si nyie ndo mmenishauri. Kwaio sikupaswa kukaa sawa hata kdg kumbeitakua ni mawazo tu, ulioverreact.... sio sonona
hamna😂Eh tena. Unajua nmeongea na watu wangap had nmepata nafuu. Si nyie ndo mmenishauri. Kwaio sikupaswa kukaa sawa hata kdg kumbe
Hapo pa chocolate, maziwa na chips naomba baba angu aone jamani...🤭Wazungu wanasema chanzo cha Sonona ni chemical imbalance. They are closer to the truth.
Chanzo ni electrolyte imbalance. Kapimwe kiwango cha madini kilichopo kwenye damu yako.
Hasa hasa Calcium, Potasium na Magnesium.
Pia jitahidi ule chips maziwa na chocolate na maji ya kunywa unywe haya ya chupa hasa yenye madini ya Calcium
Kuna mwamba alisema nna ugonjwa wa akili hebu mjibu basihamna😂
sonona haiishi, hizi ni stress tu za kawaida, sonona ni ugonjwa kabisa
itakua kuna tukio limetokea kwenye maisha yako ndo likakufanya uwe hivyo kwa muda
Sala tano kwa siku.Aisee unajua tunasikiaga watu wanajiua tunawaona wajinga sana ila ukweli labda sababu hayajatufikia.
Tuombeane aisee hivi depression inaweza kutoka kwa njia zipi. Unajaribu kulala havilaliki, washa TV huelewi unachoangalia, unaweka mziki unaona kama kelele. Yani vururu vururu nimelia wee usiku kucha mpaka macho yamevimba.
No shoulder to cry on, no one to sit pembeni yako akakusikiliza na kukufariji.
Nyie aisee tuombeane, its hard.
Hii Hali inanisumbua sanaAisee unajua tunasikiaga watu wanajiua tunawaona wajinga sana ila ukweli labda sababu hayajatufikia.
Tuombeane aisee hivi depression inaweza kutoka kwa njia zipi. Unajaribu kulala havilaliki, washa TV huelewi unachoangalia, unaweka mziki unaona kama kelele. Yani vururu vururu nimelia wee usiku kucha mpaka macho yamevimba.
No shoulder to cry on, no one to sit pembeni yako akakusikiliza na kukufariji.
Nyie aisee tuombeane, its hard.
Shida siyo hiyo.Tafuta pesa,ridhika na hali uliokua nayo usifocus kwenye maisha ya watu au furani kafanya nini au hana nini,live your own life without comparing it with that of others ondoa presha ya kufanikiwa kwa haraka.
Pole dearHii Hali inanisumbua sana