Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?

hivi depression inaweza kutoka kwa njia zipi
Tafuta furaha, sasa utajiuliza furaha ni nini? Furaha ni kufanya Jambo lolote kwa kiasi ambacho unapata appreciation kutoka kwa watu wana-applause na kukupa pongeza za kile umekifanya kwa mtazamo chanya, sasa dawa ya sonona ni kufanya hivyo do something better for yourself & for others each & everyday hapo depression itaenda zake mdogo mdogo
✍️
 
Hii ni long term solution lakin
 
Tatizo ni mtu wa kukusikiliza na kukufariji tu?

Je ukikaa mwenyewe huongei kwa sauti na kujijibu?

Kutokana na hali ulionayo unapata maumivu ya kichwa upande mmoja?
 
Furaha inatoka ndani yako mwenyewe..

Kama unategemea vitu au Watu ndio wakupe furaha utapotea... Utaendelea kuumia zaidi Kwa msongo na sonona..

Watu wanabadilika... Vitu vinabadilika.. Ila wewe Utaendelea kuwepo kama ulivyo... Jitunze, jijali, jipendee, jiweke mbele zaidi na huo ndio mwanzo wa furaha yako.

Barikiwa sana mpendwa.
 
Una ugonjwa wa akili seek for medical helps Muhimbili hospital kama huko psychiatric department ukaonane na specialist wa masuala mental health na psychologists wote wako pale especially kama uko dar na kama mkoani NENDA hospital ya wilaya uliyopo au mkoa uliopo.
 
Ni lazima ujuwe chanzo chake,ukishakijua unapambana nacho,wana saikolojia wakikaa na wewe kwa muda flani watajua chanzo na kukusaidia,wengine ni watu wa kiroho waliomshiba Mungu ni msaada mzuri sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…