Mentor wenu
Member
- Jan 13, 2025
- 6
- 9
Nina mwaka mmoja Dar, nafanya kazi kampuni moja hivi nzuri, kitengo safi Elimu zile za kula kiapo Baada ya miaka 6 ya chuo na intern.
Changamoto moja nina mpango wa kuoa mwaka huu, nina manzi watatu wote kimsingi wakali.
Mmoja anasoma chuo anapenda out sana pia ni celebrity.
Mmoja anafanya kazi zake amejiajili anatengeneza hela.
Mwingine mtoto wa nyumbani kwao bado hajapata kazi ndio anajitafuta
Nipo njia panda kweli kweli, hapa nachomokaje wadau