Njiapanda Kichwani kuhusu wanawake hawa watatu

Mentor wenu

Member
Joined
Jan 13, 2025
Posts
6
Reaction score
9
Nina mwaka mmoja Dar, nafanya kazi kampuni moja hivi nzuri, kitengo safi Elimu zile za kula kiapo Baada ya miaka 6 ya chuo na intern.

Changamoto moja nina mpango wa kuoa mwaka huu, nina manzi watatu wote kimsingi wakali.

Mmoja anasoma chuo anapenda out sana pia ni celebrity.

Mmoja anafanya kazi zake amejiajili anatengeneza hela.

Mwingine mtoto wa nyumbani kwao bado hajapata kazi ndio anajitafuta

Nipo njia panda kweli kweli, hapa nachomokaje wadau
 
Weka picha mjongeo tukuchagulie jiko usisahau namba zao za simu
 
Oa huyo anayefanya kazi zake amejiajili anatengeneza hela.
 
Manaangalia pisi Kali eeeh ?? Miez ijayo baada ya ndoa mnakuja kutia huruma hapa
 
Kawahiyo huyo anayesoma unasaidia kumsomesha au?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utanyooka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…