Njiapanda Kichwani kuhusu wanawake hawa watatu

Hao wanafaa kuwa michepuko sio mkee!
Ndugu yangu kaoa flat ila ana michepuko yenye mitako km yote na yenyewe inapenda kua michepuko sio kuolewa ili iwe huru kupigwa miwa na kila mwanaume anaetaka kuipiga miwa mingine kaishia kuzaa nayo kabisa ila mkewe hana hata tako mchongoma kabisa kanyooka km rula
 
Huyo ndugu yako ana akili sana wanawake wenye matako sio wa kuweka ndani
 
Oa huyo anayefanya kazi zake amejiajili anatengeneza hela.
......akili kubwa sana inatakiwa huyo aliejiajiri kuweza kusimama miaka 20 ijayo..na diversification za muendelezoooo wa mambo kujiajiri....la sivyo muda yeye atakuwa golikipa.....maisha safari ndefu sanaaaa
 
Namba 1 na 2 watakua wametumika sana bora chukua huyo wa nyumbani
 
Huyo celeb wako ni wa tiktok?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Anyways kataa ndoa
 
Kataa ndoa Bro utakuja kuniambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…