Njiapanda: Mtoto wa mke wangu niliyemlea tangu ana miaka 2 ameenda kutoa mahari bila kunishirikisha

Njiapanda: Mtoto wa mke wangu niliyemlea tangu ana miaka 2 ameenda kutoa mahari bila kunishirikisha

Katika saba una watoto sita, endelea na project yako somesha wanao, hakikisha wanaokuwa wanajua juhudi unazofanya juu yao na familia kiujumla.

Be democratic muulize wife kwa nini imekuwa hivyo haushirikishwi, akikupa sababu tafuta time waulize wote na huyo mwanao wa kufikia.

Huenda uliwahi kutoa kauli kwa mkeo kuhusu mali zako ikitokea haupo halafu dogo wa kufikia ukaonekana kama haumchukulii kiuzito...mke anamwambia dogo ajijenge huenda hana chake.
 
Habari wana jamvi!

Natumaini ni wazima wa afya, ni hivi niende kwenye mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye umri was miaka 39, nina mke na watoto 6 ila mke wangu nilimkuta akiwa na mtoto wa kiume wakati tunaoana mwaka 2002, jumla ukijumlisha tuna
Sasa tatizo n I nini, sio mwanao huyo hata kamanumemlea.

Akunyimae kunde akupunguzia mashuzi.

Mtoto si wako, kamshirikisha mama'ke kununua kiwanja au nyumba au ndege, wewe inakuhusu nini?

Elewa kuwa mtoto hata wa kumzaa mwenyewe anakuwa karibu sana na mama kuliko na baba, hata wewe uponkaribubsana na mama kuliko baba.

Huo mwengine uliouandika ni ujinga tu.
 
Waache umetenda wema nenda zako usisubirie kuambiwa asante. Fanya yako uwe msiri fungua vitu vyako ustop kile chakushirikiana ni vile anavyojua wekea mama yako jina lake siku unakufa anaridhi kama huna uwakika basi muweke ndugu yako umpendaye bila ya yeye kujua.

Ukifa inabidi vitu vyako vya siri vibaki kwa ndugu zako tu na vile anavyojua vitabaki kwa watoto wenu.
 
Namawazo haya haya kinaniuma sijui niondoke nisirudi tena home mana uwezo ninao nijenge tuu uku uku Arusha nifanye maisha yangu kule nisirudi tena ila nawaza watoto wangu dah kinaniuma iko acha...
Wakati mwanamke anajenga kisiri Mbande na wewe jenga kisiri Arusha. Wewe bado kijana na huo muonekano ni wa mke wako kupanga kukuacha ukiwa kwenye hali mbaya. Sasa hivi bado unafanya kazi, fanya juu chini kufikiria plan B ambayo hata kama mtaachana na mke wako hutafedheheka. Lakini ukikaa unafikiria mke na huyo kijana utaelemewa baadaye.

Pia kuna uwzekana mkubwa "her first love" ameisha rudi kwenye maisha yake. Huyu kijana anaweza kuwaunganisha ukakutwa unatupwa. Nasema hivi kwa sababu jambo la ndoa ya mtoto wa kambo uliyemhudumia kama wako wa kuzaa haliwezi kufanyika bila kukusirikisha. Wa kulaumiwa zaidi ni mke wako. Yeye asingekubali kitu hicho kitopokee.
 
We bwana mdogo acha kuumiza kichwa kijinga jinga.

Kama.ni mimi, siwaulizi kitu chochote mtoto na mama yake, na kuna baaddhi ya information zangu kama baba nasitisha kuwafikishia na badala yake na concentrate sana na watoto wangu 6.

Naongeza speed ya utafutaji na kujenga misingi bora kwa ajili ya watoto wangu 6 ukizingatia nina miaka kibao kufikia kustaafu.

Watu wanasemaga watoto wako ndio ndugu zako sio mkeo, so wacha waendelee kutonishirikisha mambo yao na wasije wakathubutu uomba ushauri yatakapo waharibikia.

* Mwamba acha kuumiza akili yako utakufa bure. Mwachie Muumba ata deal nao maana anajua wema uliowatendea.
 
Sasa tatizo n I nini, sio mwanao huyo hata kamanumemlea.

Akunyimae kunde akupunguzia mashuzi.

Mtoto si wako, kamshirikisha mama'ke kununua kiwanja au nyumba au ndege, wewe inakuhusu nini?


Elewa kuwa mtoto hata wa kumzaa mwenyewe anakuwa karibu sana na mama kuliko na baba, hata wewe uponkaribubsana na mama kuliko baba.

Huo mwengine uliouandika ni ujinga tu.

Uongooo huoo...... huo ni uongooo
 
Sasa tatizo n I nini, sio mwanao huyo hata kamanumemlea.

Akunyimae kunde akupunguzia mashuzi.

Mtoto si wako, kamshirikisha mama'ke kununua kiwanja au nyumba au ndege, wewe inakuhusu nini?


Elewa kuwa mtoto hata wa kumzaa mwenyewe anakuwa karibu sana na mama kuliko na baba, hata wewe uponkaribubsana na mama kuliko baba.

Huo mwengine uliouandika ni ujinga tu.
Hilo sasa linakuwa genge sio familia, notification tu tena ya jambo la heri, mwanafamilia anafichwa? Sio sawa. Jamaa ajihami, limke lake ni lijinga hata ukilitetea🤭
 
Habari wana jamvi!

Natumaini ni wazima wa afya, ni hivi niende kwenye mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye umri was miaka 39, nina mke na watoto 6 ila mke wangu nilimkuta akiwa na mtoto wa kiume wakati tunaoana mwaka 2002, jumla ukijumlisha tuna watoto 7 kiukweli huyo kijana mtoto wa mke wangu my step son nimemtafutia kazi Serikalini now anafanya kazi vizuri, alipata
Ungeleta mrejesho wa nini umeamua kufanya, matokeo yake yamekaaje?
Je, umewauliza kama ulivyoshauriwa?
Tuna kubwa la kujifunza hapa!
 
Habari wana jamvi!

Natumaini ni wazima wa afya, ni hivi niende kwenye mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye umri was miaka 39, nina mke na watoto 6 ila mke wangu nilimkuta akiwa na mtoto wa kiume wakati tunaoana mwaka 2002, jumla ukijumlisha tuna
Walienda na baba wa mtoto ulitaka na wewe uende, na baada ta kutoa mahari wakakumbushia kidogo ya ujanani
 
Habari wana jamvi!

Natumaini ni wazima wa afya, ni hivi niende kwenye mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye umri was miaka 39, nina mke na watoto 6 ila mke wangu nilimkuta akiwa na mtoto wa kiume wakati tunaoana mwaka 2002, jumla ukijumlisha tuna watoto 7 kiukweli huyo kijana mtoto wa mke wangu my step son nimemtafutia kazi Serikalini now anafanya kazi vizuri, alipata kazi mwaka juzi akiwa na miaka 19 tu huyu kijana nimemlea mimi tokea akiwa mdogo maana nilianza kuishi na mama yake dogo akiwa na miaka 2.

Kwanini nimekuja kwenu leo mke wangu anajua simuelewi, amekuwa msiri sana na huyu kijana wake wanafanya vitu vya siri siri sishirikishwi kwa chochote nikiwa kama mzazi kuna siku kijana kamfata mama ake waende wakanunue eneo mimi sijaambiwa sikumaind maana ni jambo la kawaida tuu kubwa kuliko ni kijana kaenda kuoa katoa mpaka mahari lakini kijana mimi hajaniambia kama baba yake ambae nimemlea tokea mdogo mpaka kazi mimi ndio nimemtafutia lakini hanishirikishi kwenye jambo la kuoa nilipochoka wametoa mpaka mahari lakini taarifa sijapewa ni hivi mimi niko nao mbali, mimi niko mkoa Arusha kikazi saizi wife na familia wapo Pwani, Kibaha kijana wangu kazi anafanyia Morogoro huyo stepson wangu kiukweli hiki kitu kimeniuma sana.

Nikifikiria huyu mke wangu tulikuwa tunapendana sana na tumetoka mbali sana tokea kipindi iko tunaishi Iringa nilimkuta akiwa dada wa kazi za ndani ana mtoto mimi nikiwa msaidizi pia kaka wa kazi za ndani ila tukapendana hivyo hivyo Mungu akanisaidia nikapata ajira mwaka 2000, 2002 tukaoana tukiwa wadogo sana tena nilimuoa hata ile ruksa ya mimi kupata kutoka kazini sikupata ruksa ya kuoa lakini nilimuoa hivyo hivyo mpaka leo tuna watoto 7 ukijumlisha na wake lakini leo kijana wake mambo yanakuwa, mazuri wanaanza nitenga nashindwa elewa nimewakosea nini maana mimi huwa sishindi nyumbani naweza nikakaa miezi hata mi3 sijarudi home hii yote kutokana na nature ya kazi yangu ambayo kijana wangu my step son amenirithi kiukweli naumia sana.

Yani tunaelekea uzeeni wife ndo ananza nificha hivi mke wangu alikuwa na tabia nzuri tuu nashindwa elewa izi tabia kazitoa wapi za kunificha sijawai mfumania ajawai nifumania sina mtoto wa njee sina mwanamke njee japo nilishawai kuwa mchepuko nilipigaga mara mbili tatu onetime nikatemana nae lkn mke wangu hakujua sasa nashindwa kuelewa why wife amebadilika hivi?

Kitu kingine kijana huyu nikimpigia cm apokei au akipokea hana story na mimi kama zamani kiukweli hiki kitu kina nitesa sana yani natamani hata nistaf mapema ili niwe karibu na wife lkn mm kustaaf bado mpaka mwaka 2045.

Kiukweki sina furaha natamani nirudi nikakae karibu na familia yangu sijawai fikiria kama mapenzi yatanitesa hivi jinsi mm na wife tulivyopendana sijui nimemkosea wapi mpaka amenitenga ananificha baadhi ya vitu yeye na kijana wake.

Kitu kingine naskia wife anajenga uko MBANDE lkn ajaniambia hii sina uhakika mana nipo mbali nae ukiangalia kama miradi mingi mm na wife tumeshirikiana ifanya na iko hatua nzuri kiukweli nataka nichukue leave ya mwezi mzima nikakae home nitulize akili mana wife simuelewi anashida gani kwann ananificha ficha vitu vyake sikuizi.
Kwani kulilia mtoto wa mwanamume mwenzio? Acha ujuha
 
Hongera kwa kuwa na watoto 6 wa kuzaa japo kuna uwezekano mkubwa wa kuwa mko wababa wengi.

Tuliza akili, fanya kazi zako huko huko uliko uone what's next.
 
Mkeo amerudisha mahusiano na Baba wa huyo stepson wako,wanakuzunguka,na ikiwezekana hao watoto sita kawapime DNA huyo mkeo ni nunda sana.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mkuu labda katika kipindi chote cha maisha yenu zipo rangi kama baba usiye wa kibailojia ulizionyesha kwa mtoto na mama yake,mfano kumsimanga au kumpiga mama yake hadharani,hivi vitu vipo wewe sio wa kwanza akuvifanya. Wanavifanya sana walezi wenye mioyo hii ya kibinaadam.kuna muda unakuta tu umeropoka upuuzi kwa mtoto au mama yake,wewe unasahau wao wanahifadhi maana yanauma.

Cha muhimu tambua kwamba umeshakuwa mtu mzima sasa,ni upuuzi kulilia kudekezwa na mtoto tena ambaye sio wako wa damu,wewe una utajiri wa watoto wengine 6 komaa nao hao kuwaboroeshea maisha.sasa ukute na ile hulka yenu unakomaa na mapombe tu na wanawake,utaharibu na kwa wa kwako sasa.
 
Namawazo haya haya kinaniuma sijui niondoke nisirudi tena home mana uwezo ninao nijenge tuu uku uku Arusha nifanye maisha yangu kule nisirudi tena ila nawaza watoto wangu dah kinaniuma iko acha...
Oa mke mwingine anzisha maisha mengine atakuja kukuua
 
Achana na wote wawili waendelee na mambo yao.
Baba mtu kaitwa na kupelekwa kuoneshwa kwa kina kayemba.
Mkuu, wanawake wako wengi Sana.
Hujachelewa.
Usikute hata hao wengine sio wa kwako
Ukiwaza Sana utakufa mapema sana na taifa bado linakuhitaji.
 
Habari wana jamvi!

Natumaini ni wazima wa afya, ni hivi niende kwenye mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye umri was miaka 39, nina mke na watoto 6 ila mke wangu nilimkuta akiwa na mtoto wa kiume wakati tunaoana mwaka 2002, jumla ukijumlisha tuna watoto 7.

Kiukweli huyo kijana mtoto wa mke wangu (my step son) nimemtafutia kazi Serikalini now anafanya kazi vizuri, alipata kazi mwaka juzi akiwa na miaka 19 tu, huyu kijana nimemlea mimi tokea akiwa mdogo maana nilianza kuishi na mama yake dogo akiwa na miaka 2.

Kwanini nimekuja kwenu leo, mke wangu anajua simuelewi, amekuwa msiri sana na huyu kijana wake. Wanafanya vitu vya siri siri, sishirikishwi kwa chochote nikiwa kama mzazi. Kuna siku kijana kamfata mama yake waende wakanunue eneo mimi sijaambiwa sikumaind, maana ni jambo la kawaida tuu.

Kubwa kuliko ni kijana kaenda katoa mpaka mahari, lakini kijana mimi hajaniambia kama baba yake ambae nimemlea tokea mdogo, mpaka kazi mimi ndio nimemtafutia lakini hanishirikishi kwenye jambo la kuoa.

Nilipochoka wametoa mpaka mahari lakini taarifa sijapewa ni hivi mimi niko nao mbali, mimi niko mkoa wa Arusha kikazi, saizi wife na familia wapo Pwani, Kibaha. Kijana wangu kazi anafanyia Morogoro huyo kiukweli hiki kitu kimeniuma sana.

Nikifikiria huyu mke wangu tulikuwa tunapendana sana na tumetoka mbali sana, tokea kipindi iko tunaishi Iringa nilimkuta akiwa dada wa kazi za ndani ana mtoto mimi nikiwa msaidizi pia kaka wa kazi za ndani. Ila tukapendana hivyo hivyo Mungu akanisaidia nikapata ajira mwaka 2000, 2002 tukaoana tukiwa wadogo sana.

Tena nilimuoa hata ile ruksa ya mimi kupata kutoka kazini sikupata ruksa ya kuoa lakini nilimuoa hivyo hivyo mpaka leo tuna watoto 7 ukijumlisha na wake, lakini leo kijana wake mambo yanakuwa mazuri wanaanza nitenga nashindwa elewa nimewakosea nini!

Maana mimi huwa sishindi nyumbani naweza nikakaa miezi hata mitatu sijarudi home hii yote kutokana na nature ya kazi yangu ambayo kijana wangu my step son amenirithi, kiukweli naumia sana.

Yani tunaelekea uzeeni wife ndo ananza nificha hivi, mke wangu alikuwa na tabia nzuri tuu nashindwa elewa izi tabia kazitoa wapi za kunificha sijawai mfumania ajawai nifumania sina mtoto wa njee sina mwanamke njee japo nilishawai kuwa mchepuko nilipigaga mara mbili tatu onetime nikatemana nae lkn mke wangu hakujua sasa nashindwa kuelewa why wife amebadilika hivi?

Kitu kingine kijana huyu nikimpigia simu hapokei au akipokea hana story na mimi kama zamani kiukweli hiki kitu kina nitesa sana yani natamani hata nistaf mapema ili niwe karibu na wife lakini mimi kustaafu bado mpaka mwaka 2045.

Kiukweki sina furaha natamani nirudi nikakae karibu na familia yangu sijawai fikiria kama mapenzi yatanitesa hivi jinsi mm na wife tulivyopendana sijui nimemkosea wapi mpaka amenitenga ananificha baadhi ya vitu yeye na kijana wake.

Kitu kingine nasikia wife anajenga huko Mbande lakini hajaniambia. Hii sina uhakika maana nipo mbali naye. Ukiangalia kama miradi mingi mimi na wife tumeshirikiana ifanya na iko hatua nzuri kiukweli nataka nichukue leave ya mwezi mzima nikakae home nitulize akili mana wife simuelewi anashida gani kwann ananificha ficha vitu vyake sikuizi.
Kijana Hana Makosa Sana! Mkeo ambaye ni Mama yake ndio Bazazi !
 
umri wa miaka 39 now means ulioa ukiwa na 17 yrs mkuu? how hujaenda hata shule? maana kwa design hii ndo maana vitu vidogo vinakutesa
Nilisoma mpaka darasa la saba tu then nikapata ajira..
 
Back
Top Bottom