Haya mambo ya kuruka na single mothers yanataka umakini sana. Kumbuka unadeal na mtu ambaye alikuwa kimahusiano na mtu hata kama huyo mtu amefariki. Hii inakuweka katika kundi la msamaria mwema na sio mwenza.
So ni vema kuweka kando porojo zinazosemwa na kuchukua tahadhali ili kuwa on the safe side na kuepusha future complications zinazoweza tokea kwa ulazima. Hii ni kwasababu zifuatazo.
1. Single mothers wanatendecy ya kuvaa mask ya 'victim hood' kwahiyo hata kama atakuwa ni yeye tatizo atataka jamii imtazame kwa jicho huruma kuwa yeye ndie kakosewa na hawapo tayari kujicheki na kubadili kilichosababisha waharibu. Hii kitu atakuja kukuonyesha mbeleni ila si wakati mnakutana. Mkikutana atataka huruma yako ila sio kukuonyesha mapungufu yake. Hii ni kukwepa accountability.mtu anaechagua kuwa unaccountable kwa matendo yake ni ngumu kubadili mwenendo wake mbaya.
2. Maisha ni kuwajibika na majukumu. Single mother akiwa na mtoto hayo ni majukumu, anajibeba bills zake na za mtoto au watoto. Lengo la mwanamke yoyote awe mama watoto wako au single ni kupata urahisi wa kubeba haya majukumu au mtu wa kumbebea ili awe huru kufirahia maisha. Target yake ni kupata mwanaume au mtu yoyote atakayechukua huo mzigo na kuubeba. Hii sio rocket science bali ni simple social sience ambayo haitaki degree kuielewa.
3. Watoto wa mwanaume ni wa kwake na katu hawawezi kuwa wako no matter how hard utajaribu kujiconvince katika akili yako kuwa ni wako. Hawa watoto ni security ya mwanamke na anawahitaji siku za mbeleni kuendelea kupata mahitaji yake wewe utakapokuwa umeshachoka na hauna nguvu za kutafuta tena. Ikifika huo wewe tayari unakuwa threat katika survival yake na katika space yake wewe si muhimu tena bali watoto ambao ndio anawahitaji so kunakuwa hakuna umuhimu wa kukuhitaji tena.
4. 90% ya effort utawekeza kwaajiri ya kumpa mwanamke anachotaka ili afurahie maisha na kutaka akutake wewe pekee yako duniani ni bad investment kwasababu in the modern world hazitakulipa by grown age. But 100% ya effort utawekeza kwko wewe mwenyewe kujenga future yako na mustakabali wa baadae hadi utakapofika miaka 100 ni guaranteed good investment that will pay by 250%,yes it will pay in double and a half extra.
5. Sio sifa ya mwanamke bora kubebesha mwanaume aliyenae sasa majukumu ya mwanaume aliyekuwa nae awali. Hivyo basi si sifa ya mwanaume bora kubeba majukumu ya mwanaume mwenzie kwasababu jambo asilokwambia mwanamke ni kwamba kama umekubali basi wewe ni mjinga aliyekupata kukurubuni kama mtoto mdogo ubebe kile ambacho mwanaume aliyemchagua yeye kwa uhuru wake kakishindwa kwa makusudi. Akikwambia ilikuwa bahati mbaya muulize mbona wengine wanabahati nzuri kwann wewe ulichagua bahati mbaya.
6. Thamani ya mwanamke katika maisha ya mwanaume huanza akiwa nae tokea mdogo na kukua nae na thamani hii hugeuka kuwa thawabu kama vile dhahabu inayohifadhiwa kidogo kidogo ikajaa na kuwa nyingi. Apatae mke mwema amepata bahati. Thamani ya mwanamke asiyejilinda hadhi yake huenda ikishuka wakati yeye akikuwa. Kinyume na porojo za kijamii, ukichagua mwanamke anayekua huku akishuka thamani inamaanisha na wewe haujithamini,kama unalala pazuri,unavaa vizuri,unakula vizuri na unataka kujenga familia nzuri then unahitaji mwanamke mzuri,sio tu wa tabia na muonekano bali hata historia nzuri.
7. Kwa kumalizia, katika maisha,wewe kama mwanaume, mbele yako anaanza MUNGU, katikati yako na MUNGU kusiwe na mtu yoyote au kitu chochote. Pili inakuja sababu ya wewe kuwapo hapa Duniani, wewe unajua sababu yako nayo ni kufanya jambo kubwa la kuifanya dunia kuwa sehemu bora kwa vizazi vinavyo kwa jasho lako. Ukianza kuhangaika na wanawake wakuelekeze direction ya maisha yako it means umegeuka na umeanza kumuweka mwanamke mbele MUNGU nyuma yako. Atakuvuruga hauta amini na mimi nasema wacha akuvuruge sababu kwa kiburi chako umechagua kumdharau MUNGU kwa makusudi.