Njiapanda: Mtoto wa mke wangu niliyemlea tangu ana miaka 2 ameenda kutoa mahari bila kunishirikisha

Miaka 39 una watoto 7, unahangaika na jambo hilo Mkuu.


Embu fanya kusema "Mungu ahsante ,ulinisaidia nikawapambania wote ,hatua nilowafikisha inatosha".



Kisha tuliaaa endelea na SHUGHULI zako, kama wataendelea kukutenda ubaya, Watalipwa tu !!
 
Wewe afande fala sana aisee.
Miaka 39 unajiita kijana. Unajipendekeza kwa mtoto wa wenyewe
We endelea kuona miaka 39 ni wazee .....time will come ....utajoin hutaamin....inakukuta mzima na AFYA tele unaanza kushangaa jinsi miaka ilivokata na hujafikia matarajio ulokuwa ukidhani .....mwenye miaka 39 anatakiwa awe mayo

By the way kama uko na 39 and above na inajiona kijana wa makamo sio mbaya
 
Hapo kuna namna mbili ima uwachane au uwaache kama walivyo......ningekuwa mm kiukweli nisingesema chochote na huyo kijana khs kupelekea posa.....wangejichanganya kuniambia au kunialika khs ndoa nisingeenda hudhuria....ningewaambia toka awali sikushirikishwa kwahiyo endeleeni Tu na shughuli yenu.

Ila kama unashindwa kukaza basi wachane itakupa afueni kidogo
 
Mharibie ajira huyo lazima akili zimkae sawa arudi kukunyenyekea
 
Ahsante sana kwa haya maneno, ubarikiwe
 
Mbona hayo madogo!! Msemo wa 'Tenda wema uende' hukuwahi kuusikia?
 
Huyo dogo inaonekana hatambui mchango wako kwake, anakuchukulia tu kama mlezi ambaye ulimnyima fursa ya kuishi na wazazi wake wawili.

Chakufanya mkuu focus kwa watoto wako tu then huyo achana nae usimfanyie ubaya kazini wala kumuonesha chuki, muda utasema atapata matokeo.

Wanaume tunasifika kwa kuwa wavumilivu na upendo, jipige kifua mkuu ulishinde hili kwani hicho ndo kipimo cha ukomavu wa kiuanaume.
 
Wanawake ni malimbukeni.
Hapo angekuwa yeye ndiye umemfanyia mpango wa kazi sijui ingekuwaje
 
Safi sana kumbe liongo hili mfyuuu[emoji57][emoji57]
 
Mlishaambiwa mkambiwa na kuambiwa kisha kuonywa na kukatazwa MSIOE MASINGLE MOTHER, ila hamuelewi sasa utakula jeuri yako kujifanya doctor love kwamba wewe unajua sana kupenda.

Mwananke wako huyo lazima moyo uwe kwa mwanae na wafanye mambo ya siri kwakua anajua mtoto sio wako lazima amuandalie mazingira. Tofauti na kama watoto wote mngezaa pamoja. Na hata kama ulimlea toka miaka 2 SIO MTOTO WAKO, ULILEA SHAHAWA ZA MWANAUME MWINGINE.

Kuoa single mother ni mlango wa hakika ya kua na mamigogoro mengi ila wanaume mabwege hua hawasikii, kwani wanawake wabichi hawapo mpaka ukaoe mwanamke aliyezalishwa ??! Seriouslly ?!

Na hapo bado, ukizeeka watakukomesha, watakuendesha sana utaishi kwa fedhea kuu, utakua na uzee wa majonzi sana na yote ni matokeo ya ubishi kuoa masingle mother.
 
Usingoje shukrani we ushamaliza kutenda wema
 
Nashndwa hata kuchangia yaani mwisho wa wema wako watu wanakuona hufai, ila kaa kmya anza kujipanga ww na watoto wako,huyo dogo kamjua dingi ake kaona hufai tena we kaa kmya tu,kuna siku utaitajika kwa vyovyote hyo cku ndio utatoa fundo lako moyoni.
 
Sio rahisi kumpiga chini Kazi ya serikali kwa masuala ya kifamilia.
 
Shida ya mswahili akimsaidia mtu anataka fadhila au kummiliki.
Kwann msiwe kama wazungu anakusaidia ufanikiwe then hana time nawe malipo atalipwa na Mungu ye kamiliza jukumu lake. Hata Mimi nafanya hivyo, waliosema usingoje shukrani waliyaona haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…