Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Assumption yako sio kweli samaki mmoja kaoza sio wote.Mlishaambiwa mkambiwa na kuambiwa kisha kuonywa na kukatazwa MSIOE MASINGLE MOTHER, ila hamuelewi sasa utakula jeuri yako kujifanya doctor love kwamba wewe unajua sana kupenda.
Mwananke wako huyo lazima moyo uwe kwa mwanae na wafanye mambo ya siri kwakua anajua mtoto sio wako lazima amuandalie mazingira. Tofauti na kama watoto wote mngezaa pamoja. Na hata kama ulimlea toka miaka 2 SIO MTOTO WAKO, ULILEA SHAHAWA ZA MWANAUME MWINGINE.
Kuoa single mother ni mlango wa hakika ya kua na mamigogoro mengi ila wanaume mabwege hua hawasikii, kwani wanawake wabichi hawapo mpaka ukaoe mwanamke aliyezalishwa ??! Seriouslly ?!
Na hapo bado, ukizeeka watakukomesha, watakuendesha sana utaishi kwa fedhea kuu, utakua na uzee wa majonzi sana na yote ni matokeo ya ubishi kuoa masingle mother.
Halafu usingle mother upo wa dizaini nyingi.
1.wa kuzaa hovyo
2.Wa kufiwa na mume
3.Wa kutojua baba halisi wa mtoto
3.Nk.
Hapo ni ubinafsi tu wa baba wa mlezi