HERUFI KUBWA
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 388
- 602
Jf kila mtu Tajiri Hakuna Nyuzi ya Mtu Maskini.
Jf kila mwanaume lazima Anakula Kimasihara Halfu anatumia laki 2 sasa sijui wanaume wajf tofauti na Tunaokutana nao mtaani kutoa Elfu 10 shida.
Jf kila mtu anaishi kwa nyumba kali na Ana gari kali Range,V8 Hatari tupu jamani eh humu ndani.
Jf kila mwanaume ana nguvu za kiume .
Jf kila mtu ana degree kutoka Udsm kama udaktari basi kasomea Muhas,
Jf hakuna anayekaa gheto wote wana nyumba kama sio tabata basi kigamboni.
Jf wanawake wa Jf hatuna maisha ya ovyo wala Hatudangi.
Jf kila mtu anajua kuandika vizuri na kila mtu mkosoaji.
Jf kila mtu anamshauri mwenzake atafute Hela.
Jf wanaume hawaendeshwi na mapenzi.
Jf superstar wao ni mshana Jr na jamaa yule wa subiri wakupe muongozo sijui nani.
Naongezea;
Jf hakuna mwalimu, wote wanafanya kazi BOT, TRA na sehemu zingine zenye mshahara wa kuanzia milioni 5 na marupurupu meeengi.
Jf hakuna anayeweza kuishi lindi au mtwara hata siku moja! Kama akipangiwa kazi au mafunzo fulani basi hufanya kazi zake na jioni hupanda ndege kwenda kulala dar au songea na ndege hiyo humrudisha lindi asubuhi.
[emoji16][emoji16] jf kila mtu ana degree