Njoeni Muone Vioja

Kwako laki mbili ni nyingi sana wakati kuna wachimba mitaro na wabeba zege wanazichanga kwa ajili tu ya kulala na mke wa mtu au mdada mwenye makalio kama fuso.acha umasikini na wivu.
 
Sio kweli mtoa post, jf ina watu wa aina zote.

Mm nafikiri hutembelei majukwaa yote au una bahati mbaya ya kutokutana na thread za watu wanao omba ushauri pale wanapo kutana na magumu.
 
Sio kweli mtoa post, jf ina watu wa aina zote.

Mm nafikiri hutembelei majukwaa yote au una bahati mbaya ya kutokutana na thread za watu wanao omba ushauri pale wanapo kutana na magumu.
Unanipangia maisha huo si mtazamo wangu jamani
 
Kwako laki mbili ni nyingi sana wakati kuna wachimba mitaro na wabeba zege wanazichanga kwa ajili tu ya kulala na mke wa mtu au mdada mwenye makalio kama fuso.acha umasikini na wivu.
Sawa taaamu..[emoji7]
 
😁😁😁 jf kila mtu ana degree
 
Wewe mtu unahangaika sana na JF,
Umeanzisha thd kuja kujisifia humu kua wewe ndio super star wa jf? Una usuper star gani? Wa kucopy google na kuja kupaste hapa?
 
Hichi nacho ni kioja cha JF. Mtu kasoma nyuzi zote, anafahamu member wote mpaka anawachambua.
 
Napakatwa sana ndo maisha yangu tena na wanaume wa kila aina weusi na weupe na utam...naupata id inakumabia mimi ni mwanaume eh kumbe
 
Sasa sisi si Great thinker
 
Unazungumzia JF ipi? Kama ni hii you are very wrong.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…