Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Wana wivu sana mi nilishakuta barua ndani ya vitisho nikasema hanijui vizuri nikamuacha. Nilitafutwa hadi na dada yake na sikuwahi hata kumfahamu, nayeye ananipa vitisho, kuharibu zaidi nikamwambia nakuhitaji wewe sio huyo mdogo wako, walikoma.Kuna mmoja nilimpata wa Njombe aisee wale ni wehu mabinti wa huko. Akaniambia ataniweka kwenye oven siku moja kila mara vitisho nikamtafutia kisa tukaachana. Ila kwa uongo wa hali ya juu sana. Ila kazi zote ni bingwa. Shida hasira. Upo kifuani utasikia ukinthomba mwingine nikijua nawaua wote.
Wamekuwa kama wanawake wa Kichagga....kule Njombe wanawake wengi uua waume zao sababu ya biashara zao za mbao, wanafanya waume zao mandondocha wa kuwaletea na kuwalindia mali zao.Habari ndugu!
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geophrey Pinda, leo Jumanne, bungeni jijini Dodoma amesema si wanaume pekee wanaoua wenza wao kwani hata baadhi ya wanawake hufanya hivyo hususani mkoani Njombe ambapo wamebaini asilimia 75 ya wanawake walioko katika gereza la mkoa huo wanatuhuma za mauaji ya waume zao.
View attachment 2509177
----
Kwa wale mnaotaka Kuoa huko Njombe chukua tahadhari hasa kama wewe ni mchepukaji basi usipende huko maana watu Wana wivu na hasira Kali ,wako radhi kukosa wote au mgawane nyumba za serikali..
Ahhh wapii.. Maono gani? [emoji1787][emoji1787]Wachaga hawana hizo tabia hakuna wanawake wavumilivu kma wachaga hasa wakikuona una maono
Njombe hawaui kisa Mali,huku wanajua wenyewe kuzisaka hizo Mali.Wanaua nyie Kwa sababu yaani Mali msake wote afu uhamishie Kwa malaya wako? lazima wakunyoe
Sasa Wanawake wa Njombe Wana uzuri gani? (Sura ngumu, taqqo hawana, rangi nyeusi tii) sijui mnafataga nn huko. Karibuni Singida na Mbulu (Katesh, Haydom, Dongobesh na Bashnet).Sio kwamba wao wametulia, alafu wana ulokole mwingi sana hawa watu.
kuna ambao wamebeba zigoSasa Wanawaje wa Njombe Wana uzuri gani? (Sura ngumu, taqqo hawana, rangi nyeusi tii) sijui mnafataga nn huko
Hakuna mwenye afadhali hapoTofauti yao ni mwingine anaua kwaajili ya mapenzi mwingine anaua kwaajili ya Mali.
🤣🤣🤣Mliwasingizia wanawake wa kichaga, ona sasa
Njombe wanaua kwa jazba ndio maana wanashikwa. Huku juu unalishwa sumu kidogo kidogo. Hakuna ushahidi. Au unapigwa matukio mpaka unaondoka na stress.Wamewapiku Wa-MACHAME a.k.a PALESTINA?
Machame KUUA ni sehemu ya mafunzo kabla ya ndoa?Njombe wanaua kwa jazba ndio maana wanashikwa. Huku juu unalishwa sumu kidogo kidogo. Hakuna ushahidi. Au unapigwa matukio mpaka unaondoka na stress.
Unawashwa na wachaga? MBna kule kwenye Uzi ule ulisema vijana wanakunywa tena Hapa unasem kule hakuna vijana? Wewe huna tofauti na chizi[emoji23][emoji23][emoji23] Wachaga kachunguze huko njombe pia wapo na nyie kule kwenu Kuna wazee tupu vijana wamekimbia...Juzi jamaa aligoma kuzikwa Rombo mkakaidi kusafirisha kilichowakuta kwa ubishi
Wachaga wamekuzd Kila kitu wewe maskini WA kidigoHao wamepiga tabia za wachaga maana wanamuingiliano na usikute hao ni wachaga wanaishi njombe ndo wapo gerezani[emoji23][emoji23][emoji23]..Makatili kinoma wao kwa wao wanaogopana
Hakuonei wivu!Tatizi mnakutana wote mnawivu una mpiga pumbu mpaka akikuona akuoneinwivu