Njombe: 75% Wanawake gerezani wameua waume zao

Njombe: 75% Wanawake gerezani wameua waume zao

Kuna mmoja nilimpata wa Njombe aisee wale ni wehu mabinti wa huko. Akaniambia ataniweka kwenye oven siku moja kila mara vitisho nikamtafutia kisa tukaachana. Ila kwa uongo wa hali ya juu sana. Ila kazi zote ni bingwa. Shida hasira. Upo kifuani utasikia ukinthomba mwingine nikijua nawaua wote.
Wana wivu sana mi nilishakuta barua ndani ya vitisho nikasema hanijui vizuri nikamuacha. Nilitafutwa hadi na dada yake na sikuwahi hata kumfahamu, nayeye ananipa vitisho, kuharibu zaidi nikamwambia nakuhitaji wewe sio huyo mdogo wako, walikoma.
 
Habari ndugu!

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geophrey Pinda, leo Jumanne, bungeni jijini Dodoma amesema si wanaume pekee wanaoua wenza wao kwani hata baadhi ya wanawake hufanya hivyo hususani mkoani Njombe ambapo wamebaini asilimia 75 ya wanawake walioko katika gereza la mkoa huo wanatuhuma za mauaji ya waume zao.

View attachment 2509177


----
Kwa wale mnaotaka Kuoa huko Njombe chukua tahadhari hasa kama wewe ni mchepukaji basi usipende huko maana watu Wana wivu na hasira Kali ,wako radhi kukosa wote au mgawane nyumba za serikali..
Wamekuwa kama wanawake wa Kichagga....kule Njombe wanawake wengi uua waume zao sababu ya biashara zao za mbao, wanafanya waume zao mandondocha wa kuwaletea na kuwalindia mali zao.
 
Njombe hawaui kisa Mali,huku wanajua wenyewe kuzisaka hizo Mali.Wanaua nyie Kwa sababu yaani Mali msake wote afu uhamishie Kwa malaya wako? lazima wakunyoe

Alafu wanaume wa huko wana penda kupiga wake zao!
Sasa siku ya siku ana tokea na pombe kichwani, ana mrushia kofi kumbe pembeni kuna jembe uwiii!
 
Sasa Wanawaje wa Njombe Wana uzuri gani? (Sura ngumu, taqqo hawana, rangi nyeusi tii) sijui mnafataga nn huko
kuna ambao wamebeba zigo
 

Attachments

  • Screenshot_20230209-115410_Lite.jpg
    Screenshot_20230209-115410_Lite.jpg
    171.7 KB · Views: 10
huo mkoa inaonekana kabisa kuna watu wengi wenye mtatizo ya afya ya akili.
jitihada za kipekee zifnyike

nadhani pia ndio mkoa namba moja kwenye maambukizi ya vvu.

wana Njombe mnao ishi nje ya mkoa fanyeni jambo kunusuru jamii ya njombe.
 
Njombe wanaua kwa jazba ndio maana wanashikwa. Huku juu unalishwa sumu kidogo kidogo. Hakuna ushahidi. Au unapigwa matukio mpaka unaondoka na stress.
Machame KUUA ni sehemu ya mafunzo kabla ya ndoa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Wachaga kachunguze huko njombe pia wapo na nyie kule kwenu Kuna wazee tupu vijana wamekimbia...Juzi jamaa aligoma kuzikwa Rombo mkakaidi kusafirisha kilichowakuta kwa ubishi
Unawashwa na wachaga? MBna kule kwenye Uzi ule ulisema vijana wanakunywa tena Hapa unasem kule hakuna vijana? Wewe huna tofauti na chizi
 
Hao wamepiga tabia za wachaga maana wanamuingiliano na usikute hao ni wachaga wanaishi njombe ndo wapo gerezani[emoji23][emoji23][emoji23]..Makatili kinoma wao kwa wao wanaogopana
Wachaga wamekuzd Kila kitu wewe maskini WA kidigo
Level Yako ni wadengereko
 
Tatizi mnakutana wote mnawivu una mpiga pumbu mpaka akikuona akuoneinwivu
Hakuonei wivu!
Wakati kukolezana ndiyo kunaleta mauwaji kwenye nzengo!

Unapiga pumbu hadi unataka kumuua, akikumbuka hicho kituko unadhani akikukuta unacheat atakuacha salama?!
 
Back
Top Bottom