Njombe: 75% Wanawake gerezani wameua waume zao

Njombe: 75% Wanawake gerezani wameua waume zao

Na akaamua kuoa
Kabisa, nilishangaa maana amekua akinishauri nisithubutu kuwa na KE wa kimo kile cha mkewe na wa kanda ile. Kuna siku alali nyumbani na hakuna wa kumuuliza kwa sababu wanakua wamenuniana wiki 2 nzima no kusemeshana kwa chochote, nilikua nawashangaa sana.

Ubaya wa yule dada akiwa amenuniana na jamaa yake anajumuisha hadi mashemeji 😂
 
Utawaskia kina Accumen Mo ooh ukienda machame palestina ooh kuna makaburi tu ya wanaume sijui ooh wanawake wa machame wanaua waume zao wabaki na mali oooh. Yani plenty of shitstuff
😂😂😂 Wachaga kachunguze huko njombe pia wapo na nyie kule kwenu Kuna wazee tupu vijana wamekimbia...Juzi jamaa aligoma kuzikwa Rombo mkakaidi kusafirisha kilichowakuta kwa ubishi
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimeweka taarifa husika hapo chini

?
IMG-20230208-WA0109.jpg
 
Habari ndugu!

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geophrey Pinda, leo Jumanne, bungeni jijini Dodoma amesema si wanaume pekee wanaoua wenza wao kwani hata baadhi ya wanawake hufanya hivyo hususani mkoani Njombe ambapo wamebaini asilimia 75 ya wanawake walioko katika gereza la mkoa huo wanatuhuma za mauaji ya waume zao.

View attachment 2509177

----
Kwa wale mnaotaka Kuoa huko Njombe chukua tahadhari hasa kama wewe ni mchepukaji basi usipende huko maana watu Wana wivu na hasira Kali ,wako radhi kukosa wote au mgawane nyumba za serikali..

Asilimia bila takwimu kwa idadi inaweza kuzua taharuki hata mahali pasipostahili! Inawezekana hilo gereza lina wanawake 8 ambapo 6 kati ya hao ndiyo wameua waume zao. Hiyo ni tayari 75%
 
Habari ndugu!

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geophrey Pinda, leo Jumanne, bungeni jijini Dodoma amesema si wanaume pekee wanaoua wenza wao kwani hata baadhi ya wanawake hufanya hivyo hususani mkoani Njombe ambapo wamebaini asilimia 75 ya wanawake walioko katika gereza la mkoa huo wanatuhuma za mauaji ya waume zao.

View attachment 2509177

----
Kwa wale mnaotaka Kuoa huko Njombe chukua tahadhari hasa kama wewe ni mchepukaji basi usipende huko maana watu Wana wivu na hasira Kali ,wako radhi kukosa wote au mgawane nyumba za serikali..
Sitaki kabisa hao wabena,, wahehe, n wawanji
 
Ndio kashapenda hana namna, kuna siku huyo shem aliniambia rafiki yako akija kumuacha atamloga, sikuwahi mwambia jamaa maana jamaa aambiliki
Kuna mmoja nilimpata wa Njombe aisee wale ni wehu mabinti wa huko. Akaniambia ataniweka kwenye oven siku moja kila mara vitisho nikamtafutia kisa tukaachana. Ila kwa uongo wa hali ya juu sana. Ila kazi zote ni bingwa. Shida hasira. Upo kifuani utasikia ukinthomba mwingine nikijua nawaua wote.
 
Back
Top Bottom