Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Ni gaidi huyo tu,msifiche ugonjwa.Alikuwa sio timamu kumbe aliyetenda unyama huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni gaidi huyo tu,msifiche ugonjwa.Alikuwa sio timamu kumbe aliyetenda unyama huo.
Huyo ni gaidi.Kusifichwe.Tatizo lilianzia hapa.
GaidiBangi
Gaidi hiloKaamua kuingiza mshedede,pale alipotokea.Laana i juu yake.
Kwakuwa unavinywa lazima uvitetee kwa jasho na damu.Visungura vinalipiwa kodi mkuu,kwahyo visibughudhiwe tafadhali. Mkanye mwanao aachane navyo kila mtu apambanie chake😅😅😅
Kabisakizazi cha miaka hii kimelaaniwa mpka basi naona hata nuhu asingepakia mtu kwenye safina yake,
Hapana,situmii. Kuna vijana wameajiliwa pale wanahudumia family zao ndyo maana nakwambia mkanye mwanaoKwakuwa unavinywa lazima uvitetee kwa jasho na damu.
Wakinga hawawezi kupata hela bila masharti ya waganga wa Zambia.Muuguzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mawengi Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, Ubatizo Sanga mwenye umri wa miaka 55 amefariki baada ya kupigwa na mchi wa kinu kichwani na baadaye kubakwa na Mtoto wake Asifiwe Haule mwenye umri wa miaka 25...
Mbaya zaidi na mauno akakata,Yani anasukuma kabisa Kama kwa demu, itasikitisha zaidi Kama na wazungu alimwagaKaamua kuingiza mshedede,pale alipotokea.Laana i juu yake.
Sio kweli, sungura na cuca.Bangi
Mkuu sasa hapo mmea unaingiaje?Bangi
Mbaki wenyewe tu sio? Kama ni hivyo basi asanteWatu hawasomi habari hadi mwisho wana comment kwa kichwa cha habari tu,
Huyo kijana inasemekana ana upungufu wa akili,...
Watu hawasomi habari hadi mwisho wana comment kwa kichwa cha habari tu,
Huyo kijana inasemekana ana upungufu wa akili, sio timamu... inawezekana lengo lake lilikua kubaka sasa ule mchi aliompiga kichwani ukamsababishia mauti, bila kujua kama muhanga ameshafariki akaendelea na adhma yake ya ubakaji....
Yote kwa yote hii gender ingeteketezwa tu.
Itakuwa alimwanga wazungu,na ndo maana wamegundua kuwa amembaka.Itakuwa wamemkuta na sperms.Mbaya zaidi na mauno akakata,Yani anasukuma kabisa Kama kwa demu, itasikitisha zaidi Kama na wazungu alimwaga
Kumbe chizi? Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya mama yake. Amina.Muuguzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mawengi Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, Ubatizo Sanga mwenye umri wa miaka 55 amefariki baada ya kupigwa na mchi wa kinu kichwani na baadaye kubakwa na Mtoto wake Asifiwe Haule mwenye umri wa miaka 25.
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva amethibitisha kutokea kwa tukio hilo August 08,2023 majira ya saa 10 jioni ambapo amesema tayari Mtuhumiwa anashikiliwa na Polisi na kwamba taarifa zaidi juu tukio zitatolewa na Polisi.
DC Victoria amesema “Nimetoka kuongea na Kaimu OCD ameniambia hilo tukio kwa kina na huyo Mhusika tayari yupo chini ya ulinzi, usalama unaendelea kuimarishwa kwani tukio limetokea ndani ya Familia husika, kubwa kama huyu Mtu angekuwa hajakamatwa ina maana ingeweza kuleta shida kwenye Jamii lakini ni Mhalifu ambaye ameshakamatwa”
Awali Mwenyekiti wa Kijiji cha Mawengi Renatho Kahako alisema kuwa Mtoto huyo alifanya mauaji ya Mama yake na baadaye akaibaka maiti “Huyu kijana ni kama alikuwa amechanganyikiwa muda mrefu, kidogo alikua hayupo timamu"
Jitihada za kumtafuta RPC wa Njombe ili kupata ufafanuzi zaidi juu ya tukio hilo zinaendelea.
AYO TV
Wamejiriwa kuuwa wadogo zetu sio ?Hapana,situmii. Kuna vijana wameajiliwa pale wanahudumia family zao ndyo maana nakwambia mkanye mwanao