Njombe: Amuua Mama yake mzazi na kisha Kumbaka

Muuguzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mawengi Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, Ubatizo Sanga mwenye umri wa miaka 55 amefariki baada ya kupigwa na mchi wa kinu kichwani na baadaye kubakwa na Mtoto wake Asifiwe Haule mwenye umri wa miaka 25.

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva amethibitisha kutokea kwa tukio hilo August 08,2023 majira ya saa 10 jioni ambapo amesema tayari Mtuhumiwa anashikiliwa na Polisi na kwamba taarifa zaidi juu tukio zitatolewa na Polisi.

DC Victoria amesema “Nimetoka kuongea na Kaimu OCD ameniambia hilo tukio kwa kina na huyo Mhusika tayari yupo chini ya ulinzi, usalama unaendelea kuimarishwa kwani tukio limetokea ndani ya Familia husika, kubwa kama huyu Mtu angekuwa hajakamatwa ina maana ingeweza kuleta shida kwenye Jamii lakini ni Mhalifu ambaye ameshakamatwa”

Awali Mwenyekiti wa Kijiji cha Mawengi Renatho Kahako alisema kuwa Mtoto huyo alifanya mauaji ya Mama yake na baadaye akaibaka maiti “Huyu kijana ni kama alikuwa amechanganyikiwa muda mrefu, kidogo alikua hayupo timamu"

Jitihada za kumtafuta RPC wa Njombe ili kupata ufafanuzi zaidi juu ya tukio hilo zinaendelea.

AYO TV
Ameiingilia maiti kimwii hajabaka.
 
Watu hawasomi habari hadi mwisho wana comment kwa kichwa cha habari tu,
Huyo kijana inasemekana ana upungufu wa akili, sio timamu... inawezekana lengo lake lilikua kubaka sasa ule mchi aliompiga kichwani ukamsababishia mauti, bila kujua kama muhanga ameshafariki akaendelea na adhma yake ya ubakaji....

Yote kwa yote hii gender ingeteketezwa tu.
Ila sperms zitunzwe kabla hawajauwawa ili tuendelee kuijaza dunia😅😅
 
Muuguzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mawengi Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, Ubatizo Sanga mwenye umri wa miaka 55 amefariki baada ya kupigwa na mchi wa kinu kichwani na baadaye kubakwa na Mtoto wake Asifiwe Haule mwenye umri wa miaka 25.

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva amethibitisha kutokea kwa tukio hilo August 08,2023 majira ya saa 10 jioni ambapo amesema tayari Mtuhumiwa anashikiliwa na Polisi na kwamba taarifa zaidi juu tukio zitatolewa na Polisi.

DC Victoria amesema “Nimetoka kuongea na Kaimu OCD ameniambia hilo tukio kwa kina na huyo Mhusika tayari yupo chini ya ulinzi, usalama unaendelea kuimarishwa kwani tukio limetokea ndani ya Familia husika, kubwa kama huyu Mtu angekuwa hajakamatwa ina maana ingeweza kuleta shida kwenye Jamii lakini ni Mhalifu ambaye ameshakamatwa”

Awali Mwenyekiti wa Kijiji cha Mawengi Renatho Kahako alisema kuwa Mtoto huyo alifanya mauaji ya Mama yake na baadaye akaibaka maiti “Huyu kijana ni kama alikuwa amechanganyikiwa muda mrefu, kidogo alikua hayupo timamu"

Jitihada za kumtafuta RPC wa Njombe ili kupata ufafanuzi zaidi juu ya tukio hilo zinaendelea.

AYO TV
Jamani tumezika Jana mchana huu msiba aacheni Bado sisi tunaomboleza

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Daaah vijana wanawehuka mapema sana,kuna aina fulani ya maisha huwa wanailazimisha halafu aina hiyo huwalazimisha wao iwafuate,mwisho wa siku wehu wanakuwa wengi mitaani na madhara kama haya kwa familia hujitokeza.
 
Back
Top Bottom