Njombe: Amuua mwanamke kwa kumtoa utumbo kwa kuingiza mkono wake njia ya haja kubwa kisa Kukataliwa Kimapenzi

Njemba linalazimisha penzi kwa mwanamke mwenye umri sawa na mamake mzazi🙁(50-33=17)!

Wanawake wanaojiheshimu hawapendi kuvuliwa chupi na wanaume wenye umri sawa na watoto zao, ndiyo maana alikataa.
 
Kwahiyo unamkatalia mtu mapenzi lakini anakuwa na uwezo wa kukupeleka uchochoroni na kuingiza mkono
 
NJOMBE KUNA ROHO YA MAUAJI!IKEMEWE!!
 
R.I.P MSHANGAZI
50 VS 33
 
Kwahiyo unamkatalia mtu mapenzi lakini anakuwa na uwezo wa kukupeleka uchochoroni na kuingiza mkono
Ndiyo maana watu hupatikana na hatia mahakamani na kufungwa kwa sababu ya ushahidi wa kimazingira!

Hapo kweli, itawezekanaje watu wasio na mahusiano kuingia chocho na kuchomoana utumbo?
 
Hiyo my take ni takataka wewe Qummer,
Kwamba kisa Balthazar kawatafuna mademu 400
Ndio wanaume wote wa Equtorial guinea ni wahuni kama jamaa?

Kwa akili hizo ni halali CCM kukufanya msukule wao maana inaonesha wewe ni empty Fvc head biatch!

Fvc you narudia
Fvc madafacker faker faked
 
Kipindi mkono unaingizwa huyo bibi alikuwa wapi, yaani alikubali kirahisi hivyo kuingizwa mkono?, kwasababu si jambo rahisi kihivyo, au alilewa sana au walikuwa kwenye hiyo michezo na jamaa akachukua advantage ya nafasi kufanya alichofanya, inafikirisha sana.
 
Na swali la kujiuliza, how come mkono ulipita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…