Njombe: Amuua mwanamke kwa kumtoa utumbo kwa kuingiza mkono wake njia ya haja kubwa kisa Kukataliwa Kimapenzi

Mmh!! Hali ni tete inatisha. Watu tunaogopana sasa hvi, shida ya afya ya akili Haina dalili.
 
Nb. Nimeipaka rangi kidogo..

#VIDEO bonyeza link Bei Facebook anmelden

Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe linamshikilia Baltazari Sonyonda(33) mkazi wa Iwungilo Halmashauri ya Mji Njombe kwa tuhuma za kusababisha mauaji ya Mariam Clalence Ndindile mwenye umri wa miaka 50 baada ya kumuingizia mkono sehemu ya haja kubwa mwanamke huyo na kisha kuuvuta utumbo na kuukata kipande na kukitoa nje.

Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe, Mahmoud Banga, amesema chanzo cha tukio hilo ni wivu wa mapenzi, kwani mtuhumiwa alikuwa akimtaka mwanamke huyo kimapenzi na mwanamke huyo alikuwa akimzungusha mara kwa mara

#EastAfricaTV

Maswali ya kujiuliza mnayo wenyewe.
 

Attachments

  • Screenshot_20241214-090951.jpg
    262.1 KB · Views: 4
Aliingizaje mkono mkunduni akiwa amekataliwa
au alikundula jamaa likiwa nyuma linafanya staili ya mbuzi kagoma likaamua kufanya ukatili huo bila hilo mshangazi kugundua jamaa alikuwa amekusudia kumfanyia unyama
 
Hivi polisi walishindwaje kutoa taarifa ki namna mpaka waseme hivyo? Inawezekana vipi mtu aingize mkono na kunyofoa utumbo, ina maana tundu hilo la haja kubwa lilikuwa wazi kiasi cha mkono kuingizwa?
 
Njombe inaipiku Geita sasa hv kwa matukio ya hovyo!
 
Njombe tena!
 
Duh, yani mkono uliingia uko nanihii...hadi akaufikia utumbo, na bado alikuwa anataka kufanya nini na huyu kiumbe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…