TANZIA Njombe: Anthony Mwandulami Afariki Dunia. Alijijengea kaburi la mamilioni ya shilingi

TANZIA Njombe: Anthony Mwandulami Afariki Dunia. Alijijengea kaburi la mamilioni ya shilingi

Hii timu ya Simba imesababisha vifo vingi sana kwa mashabiki wake, tofauti kabisa na Wananchi Yanga! Mifano ni mingi, muda ni mchache!

Sijui sababu ni nini!!!
Kuna yule mzee wa Ruvuma "aliuwawa" na Mugalu kukosa penalty vs Prisons mwingine alikufa Mwanza ile penalty ya Sarpong vs Simba.
Mashabiki wa Yanga wamezoea shida kama wa Arsenal.
 
Kuna yule mzee wa Ruvuma "aliuwawa" na Mugalu kukosa penalty vs Prisons mwingine alikufa Mwanza ile penalty ya Darling vs Simba.
Mashabiki wa Yanga wamezoea shida kama wa Arsenal.
Hakika Mwenyezi Mungu aendelee kutujalia mashabiki wa Yanga hali uvumilivu! Wenzetu wanapukutika kweli kweli kwa sababu ya timu yao!

Na hii ni nje na wale wanaozimia wakati mechi ikiendelea!!!
 
Miongoni mwa mambo yaliyoshangaza ni
  1. TRA walikwenda kumkagua wakitaka kodi, akawakaribisha kwenye viti na kuwapa nyaraka zake wazipitie, muda mfupi wote wakapitiwa usingizi mzito wakaja kuzinduka jioni, hawakutaka kumsikia tena wakaondoka.
  2. Alifuga nyuki chini ya Nissan yake kama walinzi.
  3. Inasadikika alipata kutumia nguvu ya jadi kumfanya mbaya kibaka pale Mnazimmoja Dar baada ya kumwibia mizigo yake
duuuu hatari sànaa
 
View attachment 1840225View attachment 1840223

Dokta Anthony Mwandulami mganga maarufu kutoka Kijiji Cha Itunduma kitongoji Cha wangama Kata ya Mtwango mkoani Njombe Afariki Dunia usiku wa Jana jijini Dar es Salaam.

Mganga huyo aliyejipatia umaarufu nchini baada ya kujijengea kaburi lake la mamilion ya fedha ambalo alisema atazikwa yeye na wakeze watatu.

Dokta Mwandulami alichukua uamuzi huo wa kujiandalia makazi ya milele kitendo kilichowashangaza wananchi wengi hapa nchini.

Taarifa zaidi nitazileta Kwa update!

Zaidi, soma: Njombe: Mganga wa kienyeji Mwandulami ajijengea kaburi la mamilioni, anamiliki magari ya kifahari
Ni mnyakyusa ? Naona ana ngeli ta wanyaki akina mwakyusa,mwalami,mwasumbi nk
 
Mzee wa miti shamba hatimaye ameondoka, daah mwanaye nilikuwa naye sehemu bila shaka yule atarithi tu.

Rip na pole kwa wafiwa
 
Huyo alikuwa mganga wa kienyeji katika kijiji cha mtwango,

alishajijengea kaburi la bilioni 😎 😎

machache kuhusu yeye


Huyuy mbuzi amesahau kumwambia boss wake kifo kinataka kukudhuru. Kama kuna kitu kinatupotezea muda waafrika basi ni ushirikina
 
Back
Top Bottom