Njombe: Avunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa na msichana

Hata mimi nilitegemea polisi kuhusika! Sasa naona km story imeishia njiani.
Kwahiyo mkuu wa wilaya na kamati yake ya ulinzi na usalama imemaliza kazi! Kama ni hivyo kuna kaharufu kuwa naye kamzimia binti.
 
Sawa sawa
Wengine wataogopa hiyo ndiyo nja sahihi ya kukomesha ushenzi
 
Watu wa Njombe waungwana Sana. Ingekua Tanga Sasa hivi angekua anaitwa wifi.
 
Wazazi wengine akili zao wanaziacha ujanani. Yan unampiga kijana ili iweje? Deal na hilo bolizozo lako lililokubali kuwasiliana na huyo kijana mpaka kupanga kuonana.
Kuna watu huwa wanatongoza kwa dharau sana mtu umempenda binti yangu ndiyo ufike hatua ya kuja kumlia nyumbani kwangu au kwenye mazingira ya nyumbani kwangu.


Hata mimi nilishawapiga mawe sana wahuni waliokuwa wakivizia dada zangu jirani na nyumbani. Kama wamependana wakatombeane huko vichakani na sisi tusijue siyo kwenye vicinity yangu.

Never
 
Aisee wanaume genge huwa zinatuendesha puta sana.

Hivi hao ndgu wa dem wangemuua huyu kijana si ni kesi za kipumbavu tu na za kujitakia.
Hawajui kua mtoto wao ni lazima akazwe, sema tu ni dharau kukaziwa nyumbani na hapo wala hawakupaswa kumpiga mpaka kumvunja huyo dogo.

Dogo akipona apige mimba tu, walau apate copy yake.
 
Up Next:

Mbona binti yetu haolewi!?
Binti yetu umri unakwenda hakuna hata kijana anampigia mluzi? ...nani yupo tayari kuvunjwa miguu na mikono
Binti yetu atapata mtoto kweli?
 
Kwanza nizarau kubwa Sana hata kwenda kichakan alishindwa
 
Mwamba kazingua sana angeenda kumgongea hata kichakan sio nyumban kwao
 
wamemtilia mikosi binti yao makima hao bila kujua kwakuwa akili kisado binti yao atakuja chakatwa papuchi na wahuni na kutelekezwa kama kukomolewa sababu kubwa ni ndugu kupiga vijana wakidhanj wao walianzaje kuchakata papuchi za wake zao au girlfriend zao
 
Walipaswa kupigwa wote wawili
 
Nzi kafia kwenye kidonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…