Njombe: Avunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa na msichana

Njombe: Avunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa na msichana

Nashangaa sana..sijui watavunja miguu na mikono vijana wangapi?nahisi wamekosa akili..halafu ukute wao kutwa kuwinda na kugegeda mabinti za watu.

#MaendeleoHayanaChama
Ndio hapo unakuja ule msemo wa Nyani haoni k u n d u l e
 
Kwa hiyo jamaa alitaka akatafunie nyumbani kwa dem kabisa
 
Back
Top Bottom