Njombe: Avunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa na msichana

Njombe: Avunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa na msichana

Kwanza nizarau kubwa Sana hata kwenda kichakan alishindwa
Yaani nyumba nijenge mimi na binti nizae mimi, nilee akue halafu aje panya mmoja kuja kumlia nyumbani kwangu without my consent.

Hapa niwe mkweli lazima nikupige tena siyo kitoto ikiwezekana kuvunja miguu ili asiweze tena kuruka ukuta wangu.

Sikatazi binti yangu kumtongoza na ikiwezekana kulala nae ila siyo kuja kufanyia ushenzi nyumbani kwangu.

Never
 
Wazazi wengine akili zao wanaziacha ujanani. Yan unampiga kijana ili iweje? Deal na hilo bolizozo lako lililokubali kuwasiliana na huyo kijana mpaka kupanga kuonana.
Nashangaa sana..sijui watavunja miguu na mikono vijana wangapi?nahisi wamekosa akili..halafu ukute wao kutwa kuwinda na kugegeda mabinti za watu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kijana anayefahamika kwa jina Benard Mkolwe mkazi wa kata ya Madilu, wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, amepigwa na kuvunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa na msichana Sara Mgohole anayedaiwa kukutana naye nyumbani kwao kwa lengo la tendo la ndoa ikiwa ni siku ya kwanza tangu waanze mahusiano wiki mbili zilizopita.

Kijana huyo amekili kuwa na mahusiano na msichana huyo na kudai kuwa mahusiano yao yalikuwa yakuwasiliana kwa simu pekee na yana muda wa wiki mbili toka wayaanzishe hivyo siku ya tukio hilo ilikuwa ni siku yao ya kwanza kukutana kwa lengo la kufanya tendo la ndoa.

“Wakati wananipiga wakaniambia kwanini unatembea na binti yetu nikawaomba samahani nimekosa lakini hawakutaka kunielewa” alisema Benard Mkolwe

“Waliofanya tukio ni baba zake wadogo wa yule binti yule binti ni kama wiki mbili tuko kwenye mahusiano lakini sijawahi kufanya kitu chochote kile tulikuwa ni marafiki wa kuchati na ile siku alivoniita nahisi ndio ilikuwa siku ya kuelekea kwenye tendo lakini sikufanya kitu chochote” aliongeza Mkolwe

Kijana huyo anafanyiwa matibabu katika hospitali ya St. Jon's huku Daktari wa zamu wa hospitali hiyo Zainabu Said akieleza kuwa kijana huyo ameumizwa na sasa anaendelea na matibabu katika hospitali hiyo.

Mkuu wa wilaya ya Ludewa Andrea Tsere ambae pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya hiyo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo sambamba na kupinga vikali vitendo vya wananchi kujichulia sheria mkononi.

“Labda kuna visa vya awali, huu ni ukatili wa kijinsia unaotokana na binti kusuka mpango kumuonea huyu kijana, yeye amekubali kuchati halafu wanakuja kumpiga na kama alikuwa hana uhitaji wa kukutana na huyu kijana angemkatalia toka mwanzo” alisema Tsere
Unaendaje nyumban kwa baba yake binti kufanys uasherati nae! Hizo dharau kupitiliza. Huo uchu bila tafakuri ndo mkipatwa nyege mnabaka mbuzi!
Umeumizwa lakin umenikera.
Pole yangu kwako haina tofaut na pole kwa anayepata ajari kwa kuendesha amelewa au anachat!
Kwavile hukufa mshukuru Mungu. Nawe utazaa ujue baba anajiskiaje mtu kungonoka na binti yako bila ndoa na tena kwako!
Tujenge utamaduni wa kukemea upuuz. Ikiwemo kuwasema marehem wapuuz!
 
Nashangaa sana..sijui watavunja miguu na mikono vijana wangapi?nahisi wamekosa akili..halafu ukute wao kutwa kuwinda na kugegeda mabinti za watu.

#MaendeleoHayanaChama
Alicho zingua mshikaj kutaka kumlia kwenye nyumban kwao
 
Unaendaje nyumban kwa baba yake binti kuzini nae! Hizo dharau kupitiliza. Huo uchu bila tafakuri ndo mkipatwa nyege mnabaka mbuzi!
Umeumizwa lakin umenikera.
Pole yangu kwako haina tofaut na pole kwa anayepata ajari kwa kuendesha amelewa au anachat!
Kwavile hukufa mshukuru Mungu. Nawe utazaa ujue baba anajiskiaje mtu kuzini na binti yako bila ndoa na tena kwako!
Tujenge utamaduni wa kukemea upuuz. Ikiwemo kuwasema marehem wapuuz!
Kuzini ni either mmojawapo ameoa au ameolewa. Kama sio wanafanya ngono au uasherati.
 
WaTanzania wengi wamekuwa ngumi mkononi hasa kwenye upuuzi
Sijui shida ni nini [emoji26]
 
Dawa yake akipona akamalizie kazi aliyoianza ili dingi akubali kwamba penzi ni la wawili
 
hao jamaa ni wajinga wanafikiri watamzuia binti yao mpakal lini? Binti akishapevuka kapevuka hata umfungie ndani haitasaidia - cha msingi ni kukaa naye chini kuyaongea mambo hayo kinagaubaga.
 
Bwana Ben kama unanisoma humu tafuta timing tia mimba huyo binti urudishe heshima
 
hao jamaa ni wajinga wanafikiri watamzuia binti yao mpakal lini? Binti akishapevuka kapevuka hata umfungie ndani haitasaidia - cha msingi ni kukaa naye chini kuyaongea mambo hayo kinagaubaga.
jiulize watapiga mji mzima sasa,maana binti akibalehe lazima aonjwe. Cha msingi wangempa ushauri nasaha binti,kuna mimba na magonjwa awe makini atumie ndom.
 
Kuna watu huwa wanatongoza kwa dharau sana mtu umempenda binti yangu ndiyo ufike hatua ya kuja kumlia nyumbani kwangu au kwenye mazingira ya nyumbani kwangu.


Hata mimi nilishawapiga mawe sana wahuni waliokuwa wakivizia dada zangu jirani na nyumbani. Kama wamependana wakatombeane huko vichakani na sisi tusijue siyo kwenye vicinity yangu.

Never
Sikatai kijana nae kakosea. Ila ndio umdhuru ivyo? Huoni unajiweka matatizoni wewe mwenyewe
 
Back
Top Bottom