Njombe: Avunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa na msichana

Kwanza nizarau kubwa Sana hata kwenda kichakan alishindwa
Yaani nyumba nijenge mimi na binti nizae mimi, nilee akue halafu aje panya mmoja kuja kumlia nyumbani kwangu without my consent.

Hapa niwe mkweli lazima nikupige tena siyo kitoto ikiwezekana kuvunja miguu ili asiweze tena kuruka ukuta wangu.

Sikatazi binti yangu kumtongoza na ikiwezekana kulala nae ila siyo kuja kufanyia ushenzi nyumbani kwangu.

Never
 
Wazazi wengine akili zao wanaziacha ujanani. Yan unampiga kijana ili iweje? Deal na hilo bolizozo lako lililokubali kuwasiliana na huyo kijana mpaka kupanga kuonana.
Nashangaa sana..sijui watavunja miguu na mikono vijana wangapi?nahisi wamekosa akili..halafu ukute wao kutwa kuwinda na kugegeda mabinti za watu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Unaendaje nyumban kwa baba yake binti kufanys uasherati nae! Hizo dharau kupitiliza. Huo uchu bila tafakuri ndo mkipatwa nyege mnabaka mbuzi!
Umeumizwa lakin umenikera.
Pole yangu kwako haina tofaut na pole kwa anayepata ajari kwa kuendesha amelewa au anachat!
Kwavile hukufa mshukuru Mungu. Nawe utazaa ujue baba anajiskiaje mtu kungonoka na binti yako bila ndoa na tena kwako!
Tujenge utamaduni wa kukemea upuuz. Ikiwemo kuwasema marehem wapuuz!
 
Nashangaa sana..sijui watavunja miguu na mikono vijana wangapi?nahisi wamekosa akili..halafu ukute wao kutwa kuwinda na kugegeda mabinti za watu.

#MaendeleoHayanaChama
Alicho zingua mshikaj kutaka kumlia kwenye nyumban kwao
 
Kuzini ni either mmojawapo ameoa au ameolewa. Kama sio wanafanya ngono au uasherati.
 
WaTanzania wengi wamekuwa ngumi mkononi hasa kwenye upuuzi
Sijui shida ni nini [emoji26]
 
Dawa yake akipona akamalizie kazi aliyoianza ili dingi akubali kwamba penzi ni la wawili
 
So unfair.. haijakaa poa kabisa
 
hao jamaa ni wajinga wanafikiri watamzuia binti yao mpakal lini? Binti akishapevuka kapevuka hata umfungie ndani haitasaidia - cha msingi ni kukaa naye chini kuyaongea mambo hayo kinagaubaga.
 
Bwana Ben kama unanisoma humu tafuta timing tia mimba huyo binti urudishe heshima
 
hao jamaa ni wajinga wanafikiri watamzuia binti yao mpakal lini? Binti akishapevuka kapevuka hata umfungie ndani haitasaidia - cha msingi ni kukaa naye chini kuyaongea mambo hayo kinagaubaga.
jiulize watapiga mji mzima sasa,maana binti akibalehe lazima aonjwe. Cha msingi wangempa ushauri nasaha binti,kuna mimba na magonjwa awe makini atumie ndom.
 
Sikatai kijana nae kakosea. Ila ndio umdhuru ivyo? Huoni unajiweka matatizoni wewe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…