Hivi wanachama wa hicho chama na wagombea wao huwa wanamatatizo gani ya akili,kwasababu naona wao kipindi cha uchaguzi ndo wanafanyaga vituko,wengine wagaregare chini,wengine wapige push up,wengine wapige magoti.hivi wana shida gani hawa watu.Yaani mtu anafanya yote hayo kwaajili yakutafuta nafasi yakutumbua kodi zetu.Maana hii sio hali ya kawaida.