Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

Rais John Magufuli ktk kipindi chote cha uongozi ametamka mara nyingi sana kwamba urais ni kazi ngumu (mateso) na kuomba tumuombee.

Cha ajabu ya Mwajabu, jana akiwa Njombe amepiga magoti akiomba kura ili aendelee kuwa rais.

Hivi ni kweli alikuwa anamaanisha kuwa kazi ya urais ni mateso? Kama ni mateso kwanini anapiga magoti kuomba mateso?
Nenda na wewe upige magoti uone kama utapewa kura
 
Dah mambo magumu jamani!..
Hii ni dalili ya unyenyekevu na heshima kwa watu wa Njombe na Watanzania wote! Kupiga magoti ni ishara ya heshima kwa watu na inaonesha uadilifu na unyenyekevu wa Rais Magufuli kwa wapiga kura wote nchini kwa ujumla na kwa wale wa Njombe in particular.
 
Kijana, usihadaiwe na usanii. Wanyenyekevu utawatambua kwa Maneno na matendo yao.
Kwa umri wangu siwezi kuwa mtu wakuhadaiwa mkuu! Ila niseme tu uyu Magufuli anapiga kazi tuache unafiki!! Mzee kuna sehemu anatuvusha ila najua akili za vijana wa sasa hawawezi kuelewa!!

Jipe muda bro kama atatoboa mi5 mengine utakuja kuniambia hapa na siku akiondoka atakuwa ni mtu wakutolewa mfano... Bora Magufuli angeendelea
 
Magufuli ni mafanikio
IMG_-qpubgy.jpg
 
Wapi nilipoandika kuhusu Njombe? 😳😳

njombe maji hayawezi kuzidi unga hata siku moja, nakuahakikishia mkoa ule sio chadema tu chama chochote pinza hakipati ubunge katika majimbo yake hizo ni mbwembwe za siasa tu.
 
Ila huyu mzee siku akiwa hayupo madarakani aminini nawaambia tutamkumbuka sana!!!!! Mimi ni kijana ambaye napenda maendeleo na kwabahati nzuri nimejiajiri najua ugumu wakujitegemea ila kwa miradi ya huyu serikali inayofanya kama akichaguliwa huyu mzee akaimaliza kweli nakwambia hii ichi vilio vyote vitaisha na tutaishi kwa raha sana...

Ulichoandika hapa ni utopolo tupu!

Yaani tuache kumkumbuka Baba wa Taifa aliyetuletea Uhuru na kaongoza Tanzania kwa miaka 24 halafu tuje kumkumbuka huyu Dikteta Uchwara....!No way.
 
Kwa umri wangu siwezi kuwa mtu wakuhadaiwa mkuu! Ila niseme tu uyu Magufuli anapiga kazi tuache unafiki!! Mzee kuna sehemu anatuvusha ila najua akili za vijana wa sasa hawawezi kuelewa!! Jipe muda bro kama atatoboa mi5 mengine utakuja kuniambia hapa na siku akiondoka atakuwa ni mtu wakutolewa mfano... Bora Magufuli angeendelea
Time will tell. Let's hope we will be around after mi5 mingine.
 
Kwa umri wangu siwezi kuwa mtu wakuhadaiwa mkuu! Ila niseme tu uyu Magufuli anapiga kazi tuache unafiki!! Mzee kuna sehemu anatuvusha ila najua akili za vijana wa sasa hawawezi kuelewa!! Jipe muda bro kama atatoboa mi5 mengine utakuja kuniambia hapa na siku akiondoka atakuwa ni mtu wakutolewa mfano... Bora Magufuli angeendelea
Kama Kuna MTU Alikudanganya Akakwambia Chadema Imekufa, Nikuambie Sasa Mimi Nimeshuhudia Chadema Iko Mioyoni Mwa Watu, Aseee.

Kwa taarifa yake huyo mpuuzi aliyetoa kauli hiyo ya kidwanzi, ataanza kufa yeye na Chadema ataiacha ikizidi kustawi.
 
😂😂😂😂😂😂Pale maji yanapozidi unga! Lissu the GREATEST si wa mchezo mchezo.
Atarudi kwenye kazi yake Belgium baada ya kushindwa vibaya. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom