Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananjombe kwa kweli wanemshusha Sana. Imagine, mwanaume wa Kisukuma kupiga magoti. That's unthinkable.Kutoka kwenye pushapu hadi kupiga magoti? Something is wrong
Tume ilishaandaa mshindi wake Sasa jinsi ya kumtangaza ukizingatia hili nyomi la Lisu pili Lisu sio Lowasa.Tunahadaa Ulimwengu kuwa tunategemea kura za wananchi kushinda uchaguzi.
Anyway, wengine tuliwahi tabiri mambo kama haya kutokea:
Tungekuwa na Tume Huru, kuna mtu angekuwa anapiga magoti majukwaani hivi sasa
Na Stive Nyerere mkuu muongezeeUnajuwa unaweza kumchukia mtu kwa kumuangalia tu hata kama hajakosea. Polepole ni katika watu nawachukia sana tu na Babu Tale wana sura fulani za kinafiki hivi. Mungu anisamehe
picha za enzi za Lowassa!!?Wamemsababishia mzee wa watu kupiga magoti baada ya kuona picha za Karatu. Kasahau usemi wake "Mimi ni jiwe kwelikweli!" kageuka tofali la tope.View attachment 1584676
Angekuwa anafanya hivi hata nyumbani kumsaidia mkewe, ningesema sera ya 50/50 inaanza kutekelezwaKuna watu wanaosha vyombo na kusema chukua camera vizuri nionekane kabisa [emoji23][emoji116]
View attachment 1584746
Huyu bonge amewahi tishia kuwauwa wapinzaniHuku napo wanasugua na kuosha masufuria View attachment 1584552
We acha Tena kanda ya ziwa walivomsaliti akutegemea wajiandae kubomolewa nyumba zao.Subiri "atangazwe ameshinda na kuapishwa",ndipo tutakapo lipia taabu zote hizi anazozipata sasa!
Madikteta wote ni dhaifu na waoga ujifichia kwenye ukali ili kuogopwaDikteta uchwara kwisha habari yake
Dikteta uchwara kwisha habari yake