Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

Acha ujuha kupiga magoti ni ishara ya unyenyekevu na uzalendo

Dkt. Magufuli ni mnyenyekevu mbele ya watanzania,anatuheshimu na anatupenda.

Hatishwi na siasa zenu zisizo na nidhamu
Mtu aliyeua hata akiburuzika Kwa tumbo au akapiga magogi Kwa ulimi Hana tofauti na Lucifer
 
wafuasi wa amustadamu wanashangaa magoti njombe??? kwani nani asiyejua mila za ndugu zetu wahehe na wabena?
 
Kaufyata huyo, alijiita jiwe sasahivi anashangaa kuona wananchi wanavyomchukia hawamtaki
 
CCM mwaka huu hata wakishinda ikitokea basi chama kinahitaji mabadiliko makubwa kama wanataka kubaki... au kuna siku wataanguka na hawatasimama tena. Walijisahau sana na kuwafokea watu kana kwamba nchi hii ya kifalme. Inawezekana watu hawaichukii CCM kama chama ila watu wanachukia tabia za viongozi. Jeuri za kukemea watu walikuwa wanazitoa wapi? walidhani miaka 5 mingi sana? siku ikija kutokea tume huru basi na uhakika hakuna wakushinda 50%tutakuwa na mseto. Kuwafanyia watu maendeleo isiwe kama hisani watu au hata mtu ukimfanyia mazuri halafu ukamdhalilisha hata kumbuka mazuri lile baya ndio atakuchukia nalo na unaweza usimpe kitu lakini maneno mazuri wala asikasirike. Mzee na wenzake mpaka yule aliyekuwa mkuu wa mkoa na wengine wamedhalilisha sana watu tena kwenye camera.
 
Kwenye zile ndege na bwawa la umeme umetupiga pesa pia ni project za kilofa sana(White elephant project). Yaani emeachana na gesi anaingiza pesa zetu kwenye bwawa ambalo linategemea mvua,na mchanga ukojaa na mvua ikikosekana uzalishaji wa umeme unapungua.

Angalia mabwawa yote ya umeme uzalishaji wake haufikii nusu ya uwezo wake wakati yanajengwa. Biashara ya ndege ndiyo kaivamia tu,sema project zote zinaufisadi mkubwa maana kuna siri kubwa sana.

SGR ni project ya maana sema utekelezaji wake umekuwa wa kishamba sana.
Kabla ya kusema haya jitafakari hali ya uchumi ilikiwaje na sasa ipo vipi the argue na nafsi yako juu ya fursa zilizopatikana juu ya uwepo wa miradi hiyo ukimaliza subiri tarehe 28 ukapige kura kwa Ccm

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Hapo leo ndio kalitendea haki bango lake lililoandikwa MNYENYEKEVU japo kinafiki.
Hilo 'Bango' linachekesha kweli!

Naona walikosa maneno mengine ya kuweka kwenye bango hilo.

Hebu nikuulize wewe mkuu 'Reykijaviki' hivi umewahi kusoma popote, kwenye bango au kusikia kwenye hotuba zake zote akitumia neno "HAKI"?

Nimejiuliza sana juu ya kukosekana kabisa neno hilo katika msamiati wake.
 
Hata Nyerere hajawahi kupiga magoti sababu ni haki yake ya kikatiba kuchaguliwa au kutochaguliwa sasa magoti anapiga ya nini anataka ahurumiwe kwasababu alipuuza maisha ya wananchi asubiri tarehe 28/10
Kuna njia nyingi za kufikisha ujumbe wa audience sijaona hasa kilichowakera hapo

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ulitaka akupigie magoti wewe au acha upumbavu sikujui ila ulicho kisema ni ujinga mtu akiwa mnyenyekevu anataka ahurumiwe ebu soma kidogo uongozi hujaelewa bado
 
Tujikumbushe
20200930_081339.jpg
 
Back
Top Bottom