Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

Jamani Watanzania tumechoka yote hayo. Yeye angesubiria hatma yake kwao Chattle huko hiyo tarehe 28 October.

Kura zote za uRais Watanzania wenzangu ni kwa Lissu pekee. Twendeni na huyu, tutakuwa salama.
 
Hiki kijaa kinafiki balaa. Hakina hata aibu. Yaani kwa jinsi kinavyojipendekeza kwa Magufuli hadi kinatia aibu.
Lipumba alisema njaa si mchezo, ameshazoea maisha ya juu ya VIP kiasi kwamba kuyakosa na kurudi kwa zamani haiwezekani,yuko radhi hata kutembea na tumbo au uchi ikibidi but abakie juu.
 
Rais ametuaibisha CCM yaani mafanikio yote yale midege mifulaiova midaraja mistigilazi goji mi Esijiara yaani bado tunapiga magoti. Kweli wananchi ni wajumbe tu.
 
Rais ametuaibisha CCM yaani mafanikio yote yale midege mifulaiova midaraja mistigilazi goji mi Esijiara yaani bado tunapiga magoti. Kweli wananchi ni wajumbe tuu
Alafu huyu kibaraka wa mabeberu tuu ambaye hawezi hata kutembea vizuri tena kaja tuu ghafla ananyenyekewa na watu hadi wanamuomba asiondoke,wakati hajawahi kujenga hata kichochoro cha kwenda chooni.
 
Kuna mtu kanidokeza kaniambi Lissu anatumia spana za kawaida sana je akianza kutumia combination itakuaje
Naona akitua hapa dar ICU zitajaa maana naona kuna watu watatamani ardhi izame baharini wapoteane, daah pole pole kanichekesha sana,utadhani sio yeye anayevimbishaga kifua, haa haa walimcheka bashite sasa acha wanywe kikombe chao pia.
 
Kura itategemea na maisha ya watanzania yakoje maana hata wale wasiojulikana hatusikii kwenye ilani wamewekewa mkakati gani au hili tatizo la wasiojulikana halina madhara ndiyo maana halijazunguzwa kwenye Ilani yao.
Wasiojulikana ni watu gani?! Kwangu wasiojulikana ni wakiomuua Mlelwa....ni wale waliochoma ofisi za chadema kwa lengo la kuichafua serikali...ni wale waliokuwa wakiua polisi na viongozi wa serikali kibiti...ni wale waliopanga kuleta vurugu na mauaji nchini siku 20 kabla au kuelekea oktoba 28..
 
Hata Nyerere hajawahi kupiga magoti sababu ni haki yake ya kikatiba kuchaguliwa au kutochaguliwa sasa magoti anapiga ya nini anataka ahurumiwe kwasababu alipuuza maisha ya wananchi asubiri tarehe 28/10
Hapa ndio atajuwa kwamba tundu lissu mmoja ni lowassa elfu moja
 
Back
Top Bottom