Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

Hakika mkuu kura ina nguvu sana ya kubadilisha Maisha ya Watanzania kupitia viongozi wanao wachagua.

japokuwa jiwe hataki kabisa taasisi za kiraia ziwafundishe watu kuhusu elimu ya kiraia kujiandikisha , kupiga kura na kufuatilia matokeo.

Watanzania ni wakati muhimu sana wa Mabadiliko.

CHADEMA imewaletea Mgombea urais kweli kweli si mpinzani.

# Ni YEYE.*
 
Kupiga magoti ni ujinga?

Akishinda mtakuja hapa kualalama mmeibiwa wakati akiomba kura kama hivi mnaona mjinga!

Bavicha ni vichwa ngumu

Hata Nyerere hajawahi kupiga magoti sababu ni haki yake ya kikatiba kuchaguliwa au kutochaguliwa sasa magoti anapiga ya nini anataka ahurumiwe kwasababu alipuuza maisha ya wananchi asubiri tarehe 28/10
 
Kuna tofauti Kati mitazamo kizalendo na mitazamo ya kibeberu.

Mitazamo ya kibeberu ni hii

Reli ya mkoloni na
Ule umeme wa dowans

Magufuli kaja na mitazamo ya kizalendo

Stigler's gorge(nyerere)
Standard Gage

Kwanini akose urais?

Kwani hiyo miradi ilitekelezwa na serikali ya chama gani, mtu mwenye akili huwezi kutenganisha serikali ya awamu ya 4 na serikali ya awamu ya 5 kwakuwa zote ni serikali za CCM na zinatekeleza ila ya chama
 
Huyu aliyekuwa anatutisha na kujifanya jeuri leo anapiga magoti????Ama kweli urais ni mtamu sana!
Kutoka kupiha pushup hadi magoti naona pumzi imekata,inafikilisha sana,mimi watoto wangu niliwakataza wasiende kuongeza vichwa, sijui kama wanyonge wenzangu kama wanajitambua.
 
Hapo leo ndio kalitendea haki bango lake lililoandikwa MNYENYEKEVU japo kinafiki.
 
Halafu Mzee Mangula anatusihi tukipiga kura turudi nyumbani tusubirie matokeo! Mwaka huu ni bampa to bampa kura yangu ni ya muhimu sana lazima niilinde.Kitu kinapigiwa Magoti halafu nisikilinde .
 
Tusidharau kiongozi mkubwa kupiga magoti,mbele za umati mkubwa vile,kunatafakarisha sana na kuna maana nyingi sana , mama alipiga mbele za Mungu tafsiri yake inaweza kuwa rahisi kidogo, lakini kama alipigia watu kuna maswali mengi ya kujiuliza, na upande wa pili watafakari zaidi, pamoja na kwamba ni Kiongozi lakini ni baba mwenye mke na watoto, Fikiri
 
Kufoka na kukaripia kumegeuka kuwa haya sasa?
Hongera sana Tundu Lissu kuwezesha mabadiliko haya. Pushup safari hii hazifanyi maigizo sahihi, bali magoti yanatosha!

Sasa watu wasihadaike na uigizaji huu, wakikosea tu safari hii imekula kwao.
Kufokea mwisho kanda ya ziwa tu. Hizi nyanda za juu kusini tunanyoosha tu.

Asa akienda kwa walima korosha huko si ndo atagalagala kabisa.
 
Back
Top Bottom