Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

Kwa kitendo cha Dr Magufuli kusimama imara katika kutuongoza na hatimaye kuishinda Corona zawadi pekee anayostahili ni sisi Watanzania kumpigia magoti na kumpa 5 tena.

Yule Jah People ni mtu wa miti shamba siyo wa kumfatisha sana analosema ana mambo yake yule mpwa wa Mwakipande.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hapo ndipo naaamini ccm hali ni mbaya, jeuri yote ile ya magufuri ,kweli kabanwa. Nikikumbuka kauli ya Pole pole kwamba wataongeza timu. Kweli wamezidiwa ukiona timu inafanya sub kweli hali ni.....
 
Unazani wana pewa pewa tu iyo sio juice colour sawa mtoto.

SUBIRI KIDOGO
 
Umpe mtu kibalua cha kukulimia shamba alafu umpigie magoti,hata watoto wako watakuona chizi.
 
Kufoka na kukaripia kumegeuka kuwa haya sasa?
Hongera sana Tundu Lissu kuwezesha mabadiliko haya. Pushup safari hii hazifanyi maigizo sahihi, bali magoti yanatosha!

Sasa watu wasihadaike na uigizaji huu, wakikosea tu safari hii imekula kwao.
 
Kwa kitendo cha Dr Magufuli kusimama imara katika kutuongoza na hatimaye kuishinda Corona zawadi pekee anayostahili ni sisi watanzania kumpigia magoti na kumpa 5 tena.

Yule Jah people ni mtu wa miti shamba siyo wa kumfatisha sana analosema ana mambo yake yule mpwa wa Mwakipande.

Maendeleo hayana vyama!
Unakoelekea akiomba akupige tako kadhaa , utatoa tundu dogo
 
Kwa kitendo cha Dr Magufuli kusimama imara katika kutuongoza na hatimaye kuishinda Corona zawadi pekee anayostahili ni sisi watanzania kumpigia magoti na kumpa 5 tena.

Yule Jah people ni mtu wa miti shamba siyo wa kumfatisha sana analosema ana mambo yake yule mpwa wa Mwakipande.

Maendeleo hayana vyama!

Ataacha kupiga magoti huku katupiga 1.5t?
 
Kwa kitendo cha Dr Magufuli kusimama imara katika kutuongoza na hatimaye kuishinda Corona zawadi pekee anayostahili ni sisi watanzania kumpigia magoti na kumpa 5 tena.

Yule Jah people ni mtu wa miti shamba siyo wa kumfatisha sana analosema ana mambo yake yule mpwa wa Mwakipande.

Maendeleo hayana vyama!
Mjinga sana wewe, tumpigie mtu aliyetufarakanisha Watanzania?
Ameua uchumi, ameharibu kila kitu
 
Kwa kitendo cha Dr Magufuli kusimama imara katika kutuongoza na hatimaye kuishinda Corona zawadi pekee anayostahili ni sisi watanzania kumpigia magoti na kumpa 5 tena.

Yule Jah people ni mtu wa miti shamba siyo wa kumfatisha sana analosema ana mambo yake yule mpwa wa Mwakipande.

Maendeleo hayana vyama!
Mwambie mhusika, na sio sisi kama wewe unajifanya unajua zaidi ya yeye anayeijua hali halisi!

Wewe umevaa viatu vyake lini kujua palipo na maumivu kama sio unafiki unaokusumbua na kuhangaika kila siku hapa JF.
 
Kwa kitendo cha Dr Magufuli kusimama imara katika kutuongoza na hatimaye kuishinda Corona zawadi pekee anayostahili ni sisi watanzania kumpigia magoti na kumpa 5 tena.

Yule Jah people ni mtu wa miti shamba siyo wa kumfatisha sana analosema ana mambo yake yule mpwa wa Mwakipande.

Maendeleo hayana vyama!
Haya kakojoe ukalale,
 
Anachota mihela na kujenga international airport Kijijini kwake Chato. Unategemea nn? Hata mm ningepiga magoti.
 
Kufoka na kukaripia kumegeuka kuwa haya sasa?
Hongera sana Tundu Lissu kuwezesha mabadiliko haya. Pushup safari hii hazifanyi maigizo sahihi, bali magoti yanatosha!
Sasa watu wasihadaike na uigizaji huu, wakikosea tu safari hii imekula kwao.
Mh. Tundu Antiphas Lissu alipodai wapo watu wamelegea tayari wengi hatukuamini...sasa nimeamini baada ya kujionea kwa macho yangu!
 
Back
Top Bottom